kigamboni

  1. Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  2. Mkurugenzi wa Jamvi la Habari, Habibu Mchange, adaiwa kushikiliwa na TAKUKURU Kigamboni

    Habibu Mchange, Mkurugenzi Mtendaji wa magazeti Jamvi la Habari, Times Observer, Tanzania Bora na mengineyo amedaiwa kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kigamboni kwa saa kadhaa. Inadaiwa kuwa Mchange aliitwa TAKUKURU Ijumaa saa tatu asubuhi baada ya siku ya...
  3. Pre GE2025 Makalla Jimbo la Kigamboni mmezidi kujipitisha, msipojirekebisha tutawaengua

    Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  4. R

    Plots for sale in Kigamboni Dege

    Plots available for Sale. Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area, Dar es Salaam. Descriptions: Plots located 23km from ferry. There are 10 plots in the area. Each plot has title deed. You can buy all area or a number of plots. All social services are available. Suitable for Residential or...
  5. R

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  6. Kigamboni kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa makundi maalumu, wanawake watakiwa kutumia fursa ili kujiimarsha kiuchumi

    Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa ikitenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ili kuwawezesha Wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu sambamba na kutoa mikopo yenye Riba nafuu kwa Wajasiriamali wadogo wadogo Ili iweze kuwainua...
  7. A

    KERO Foleni ya malori kuingia Kigamboni

    Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni. Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo. Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana. Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili...
  8. R

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  9. Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  10. Maeneo mengi ya Kigamboni yana mandhari mazuri lakini usimamizi ndio kikwazo. Maeneo mengi bado yana mapori!

    Wote tunaona jinsi mataifa madogo madogo yenye rasilimali chache yanavyofanikiwa kutokana na mipango bora ya usimamizi. Hali hii inajidhihirisha pia kwa Kigamboni, ambalo linabarikiwa na ufukwe wa bahari wenye umbali wa kilomita 70, wenye mchanga mweupe na mandhari nzuri. Hata hivyo, kutokana...
  11. R

    Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege

    Kwa maelezo zaidi na kuona viwanja, wasiliana nasi. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  12. R

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  13. KERO Latra Kigamboni Feri wanapandisha nauli ikifika mida ya giza

    Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi kwa kujisikia saana. Konda awapakize ama awaache kwanza mgombanie daladala. Kisha akiamua ndo...
  14. R

    Plots available for sale in Kigamboni Dege

    Plots available for Sale. Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area, Dar es Salaam. Descriptions: Plots located 23km from ferry. There are 10 plots in the area. Each plot has title deed. You can buy all area or a number of plots. All social services are available. Suitable for Residential or...
  15. R

    Plot available for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  16. Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  17. Undersea/underwater tunnel year 2030 (Kigamboni - Magogoni). Is it possible?

    Morocco 🇲🇦 na Uhispania 🇪🇸 zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili. Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya...
  18. NSSF rekebisheni daraja la Kigamboni

    Pamoja na kuwa tuna kilio kwa serikali kutuondolea malipo ya kuvuka daraja la Kigamboni, niwapongeze NSSF kwa kujaribu kuweka urataribu wa kulipa malipo ya awali kabla ya huduma ya kuvuka na kuweka njia maalum gate namba 5 litumike. Mwanzo utaratibu huu ulipoanza kiukweli ulileta tija kwa...
  19. M

    KERO Mamlaka mnasubiri nini kuweka matuta pale center barabara ya Dege Kigamboni?

    Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue? Pale kuna shule za ndani ndani kama Nguva na Meka. Gari zikitoka huko aidha mjini au Kimbiji kwenye...
  20. R

    Plot for sale in Kigamboni Mwasonga

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…