Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali.
Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua inayochukuliwa na mamlaka husika.
Moja ya madhara ambayo yamekuwa yakitokea ni kumwagika kwa vifusi...
Anonymous
Thread
barabarani
kigamboni
malori
sheria
usalama
usalama barabarani
Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano
nicheki 0783677210
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha.
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake.
Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege.
Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami huchimbwa na kuacha barabara ya vumbi kwa zaidi ya miezi sita kabla ya kurekebishwa. Hali hii...
Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma,
Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?
Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko hakijatoka hii ni haki kweli?
Mpaka watu wanalala wanasinzia wanaliwa na mbu na wadudu wa Bahari...
Inasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu.
Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa.
Hamna viburudisho wala miundombinu rafiki.
Serikali heshimuni afya na haki za wateja wa vivuko vyenu, wanahitaji mazingira mazuri na...
WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI KUHARAKISHA UJENZI BARABARA YA KIGAMBONI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefanya ziara katika wilaya ya Kigamboni kujionea maendeleo ya miradi ya ujenzi wa barabara na kutoa maelekezo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi huo, kampuni ya Nyakemore...
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
Anonymous
Thread
dar
dar es salaam
ferry
from
kenya
kigamboni
kuelekea
mimi
recently
Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya.
Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali.
Walipoulizwa juu ya...
Anonymous
Thread
college
kigamboni
kulipa
kushindwa
miezi
miezi mitatu
zaidi ya
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless ...
Taarifa ya Jeshi la Polisi
==
Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao.
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi...
Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui
Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua.
Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie
Ni issue muhimu sana
Nimefanikiwa
Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024
Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
"Nimepokea kwa...
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni
Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga...
Mungu hamwachi mtu wake
Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu
Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani
CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh makonda ajaribu tena baahati yake kugombea kigamboni
All d best
Mungu ibariki Tanzania na Kigamboni...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.