kigamboni

  1. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Habari za usiku wakubwa. Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala. Kama umetembelea daraja la kigamboni au ni mkazi wa darajani utakuwa unalifahamu ili swala. Hakuna...
  2. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kigamboni: Spacious Self Contained Bungalow For Sale - Dar

    • Direction: Kibada, 3 min on foot from Chekechea daladala stop • Facilities: 3 bedrooms, 2 bathrooms, servant quarter • Plot Area: 1,000+ sqm • Document: Title deed • Price: TSH 250 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inauzwa bila samani za ndani (unfurnished) ✓ vyumba vitatu vikubwa...
  3. No SQL

    Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

    Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili BEi: 15 million Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k Hyo barabara hapo inaelekea Kimbiji ambayo imeanza kupigwa lami. karibu PM tuzungumze.
  4. Dr Matola PhD

    Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni km 22 kutoka ferry.

    Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni vimebaki viwanja 7 tu kwenye mradi. Ni mbutu mbele ya dege eco village uelekeo wa baharini(mita 400) kutoka baharini). Viko barabarani barabara iendayo kichangani. Ni km 22 tu kutoka ferry. Bei ni shilling elfu 25 kwa square meter.
  5. Tawire

    Wilaya ya Kigamboni Imetengwa?

    Ni miaka minne sasa wilaya hii mpya (Km chache kutoka Ikulu ya Magogoni)haijajengwa hata KM 1 ya lami!!!Hayo Maendeleo yanafanyika wapi katika nchi hii?Kwa muhusika yeyoye atakayebisha juu ya habari hii aje na takwimu zake hapa.
  6. R

    Pre GE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

    1. Lisu 2. Mbowe 3. Boniface Jacob 4. Ongezea na wewe
  7. evangelical

    Jimbo la Kigamboni lipo wazi, hongera Ndugulile

    Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa. Pia soma: Dkt...
  8. Tembosa

    Wanaoongoza Kivuko cha MV Kazi (Magogoni -Kigamboni) leo 22/08/2024. Wachukuliwe hatua kali

    TEMESA na Mamlaka zote zinazohusika na Vivuko, Wanatakiwa kuwachukulia hatua kali sana, Waliokuwa wanaongoza MV Kazi leo 22-08-2024 Saa 12:50jioni. Kutoka Upande wa Dar (Magogoni) Kuelekea Kigamboni. Wamehatarisha sana maisha ya watu. Kivuko kimetoka Wakati kuna meli iliyokuwa inatoka...
  9. The mgusi

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni - Dege sqm. 1045

    Kiwanja ni tambarare Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045 Mawasiliano for serious buyer 0692450861 Umbali toka Feri ni km 19 Price - 12,000,000/= Negotiable.
  10. Chakorii

    Ni wapi kwa Kigamboni ninaweza kupata hizi vegetables

    Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘 Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni. Thank youuu😘
  11. Ustadh tongwe

    Kitengo cha mipango Miji Manispaa ya Kigamboni wanakwamisha leseni nyingi za biashara zinazotakiwa kuanzia kwao

    Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
  12. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kariakoo: 850 sqm Plot For Sale - Dar

    • Direction: Muhoro • Plot Area: 850 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 800 million • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa ✓ plot inafaa kwa makazi na biashara . Call/Watsap: +255 767 15 77 88 . In Real Estate We Connect
  13. BigTall

    Wanachimba Michanga wanahatarisha Maisha yetu Kisarawe Two (Kigamboni), hawataki kusitisha mchakato huo

    Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari ya kubomoka hasa kipindi cha mvua. Uchumbaji wa michanga maeneo ya Mwaninga, Chekeni, Kisarawe II...
  14. GENTAMYCINE

    Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  15. Doctor Mama Amon

    Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  16. Bosspraise

    Plot4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  17. Mjanja M1

    Tutajuaje kwamba Mkopo wa Daraja la Kigamboni umeisha?

    Au ndio serikali iteaendelea kututoza malipo kupita Kwenye Daraja hilo bila ya ukomo?
  18. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kigamboni: Main Road Side Plot For Commetial and Residential - Dar

    • Direction: Magogoni, mita 300 kutoka Ferry • Plot Area: 300 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 70 million . ✓ inatazama barabara kuu ya lami ya Ferry-Kimbiji ✓ mita 100 mpaka baharini ✓ mjini (city center) ni mwendo wa dakika kadhaa tu ukitumia panton ✓ ndani kuna nyumba ya chini ya...
  19. GENTAMYCINE

    Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

    Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu...
  20. figganigga

    Yusufu Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, zaidi ya Ndugu na zaidi ya Mwanayanga mbele ya Wanayanga wenzake

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake. (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda...
Back
Top Bottom