President Samia Suluhu Hassan has extended her condolences to the Speaker of the National Assembly, Dr. Tulia Ackson, following the death of Kigamboni MP and WHO Regional Director-elect for Africa, Dr. Faustine Ndugulile.
Dr. Ndugulile passed away in India at the age of 55.
In a message shared...
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa matumizi.
Kipande cha Kutoka Mzunguko wa wa Darajani kama unaenda Kisiwani kuna kipande palikuwa...
Wakuu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea katika maeneo mengi nchini. Baadhi ya maeneo wapiga kura wamendelea kutoa changamoto wanazokutana nazo.
Sasa Katika zoezi la kupiga kura kwa viongozi wa Serikali za Mitaa ambapo katika Mtaa wa Upendo Kigamboni jijini Dar, changamoto iliyoainishwa ni...
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Wakuu,
Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto
Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa.
Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
📍 Kigamboni
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni.
Hata hivyo, mmoja wa wakazi wa Kigamboni Bw. Ballu Abdul amemueleza Waziri Bashungwa...
Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania.
Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya...
*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu
*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
Temesa ebu tuaangalieni wanakigamboni tunateseka sana sana na hii changamoto ya kivulo kimoja hivi kweli kwa aya mateso viongozi mnapata usingizi kweli
Wahusika.
Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero.
Kama hakukuwa na fedha za kutosha, isingekuwa lazima kufumua kipande hiki kifupi cha barabara. Matokeo yake ni kero kwa watumiaji: magari...
Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
Wadau kama heading inavyojieleza muda huu Kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu.
Mdau mwenye info yoyote aiweke hapa maana hadi usingizi umekata.
Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi.
Pili, tunashauri wale majamaa wanaopanga magari jioni waache nafasi ya kutosha. Sasa hivi magari yamejaa mpaka kwenye njia za watembea...
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile...
Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja.
============================
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
Serikali imerejesha rasmi utaratibu wa Mikopo isiyo na riba ambayo ilikuwa inatolewa Kwa makundi maalumu kwa lengo la kuwainua Kiuchumi.
Awali mikopo ilisitishwa baada ya maafisa wa Serikali kutumia mwaya huo kukopesha Vikundi hewa na kisha kukwapua pesa za Umma hukunwalengwa wakishindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.