kigamboni

  1. Teko Modise

    Baada ya kivuko kupata changamoto, mitumbwi yatumika kuvuka Kigamboni

    Baada ya kivuko kupata changamoto, wasajiriamali wamejiongeza, huu ndio usafiri wa dharura huko Kigamboni kwa ambao wanaona darajani ni mbali. Mitano tena
  2. 3

    Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  3. M

    Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

    Risiti zikoje
  4. K

    Ni wakati wa Daraja la Kigamboni kupitika bure, bila kulipia

    Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri vipite bila tozo zozote ili kurahisisha huduma za usafiri. Kwa tabu ambayo wanachi wanapata sasa...
  5. Themann

    Drag race kufanyika Kigamboni kesho

    Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere Bridge Kigamboni inarudiwa tena hii ni season ya pili kama ulimisi mwaka jana usipange kukosa ni kesho June 2 mwenye more info atupie hapa sijajua...
  6. Cute Wife

    Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini

    Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko cha Azam kinavyolipwa baada vivuko hivi kuwa vichomi, leo anakuja kutuambia ni chuki binafsi? --...
  7. J

    Waziri Bashungwa: Upotoshaji wa vivuko Kigamboni una maslahi binafsi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) nakueleza kuwa imetengenezwa na watu wenye maslahi binafsi. Ameyasema...
  8. instagramer

    Kwa hili la Kigamboni, Bashungwa nimeamua kushikilia shilingi yako

    Ndugu wanaBodi... Ni matumaini yangu mmemaliza salama majukumu yenu ya siku kwa uweza wa Mungu. Ila kwa wale wanaoingia nightshift basi ikawe Heri na watoke salama asubuhi. Lengo la Uzi huu ni kuelezea changamoto niliyokumbana nayo Leo pale Kigamboni. Nikiwa katika shughuli za Kila siku za...
  9. A

    KERO Kigamboni: Barabara ya Dege kwenda Mkwajuni mpaka kwenye Machimbo ya Vifusi ni mbovu kuliko maelezo

    Mimi ni Mkazi wa Mbutu Kigamboni kwa namba ya Wanambutu. Changamoto ya Mbutu ni Barabara ya kutoka Dege kwenda Mkwajuni mpaka kwenye Machimbo ya Vifusi. Kwanza naomba niwafahamishe yafuatayo; 1. Barabara zote za Kigamboni zitakazojengwa material yake nikimaanisha kifusi chake kitatoka Mbutu...
  10. Jay_255

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu mimi mwenyewe.Nina dharura bei nzuri sana.Hakina Udalali

    Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2 Km 1 kutoka barabara kuu. ukubwa ni 20 kwa 20 Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo) Hakuna dalali ni changu mwenyewe. Ukihitaji maelezo zaidi mawasiliano haya hapa ya mmiliki +255659252713
  11. S

    Natafuta sehemu ya michezo ya watoto Kigamboni

    Habari, Mwenye kufahamu tafadhali. Sehemu ambayo kuna michezo ya watoto Kigamboni. Asante.
  12. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  13. U

    Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  14. D

    Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  15. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

    My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
  17. N

    KERO Mazingira ya Kituo cha Daladala cha Kivukoni upande wa Kigamboni hali sio nzuri

    Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya. Mamlaka za Dar...
  18. Jidu La Mabambasi

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake. Aliyeufisadi hajulikani. Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania. Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu. Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo. Pia, kuna...
  19. Sniper

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo. Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
  20. L

    House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni bei rafiki sana

    NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU... Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei milion 29 MAWASILIANO +255784379396 +255789782415 Email: leonapolinary@gmail.com
Back
Top Bottom