Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.
Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita...
Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa
Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita
Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
Wasaaaalamu
Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
Habari wadau,
Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni
Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.
Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
Habar wanamajumui, niende moja kwa moja kwenye mada,
Mashine za kutolea Hela (ATM) za bento ya CRDB eneo la Kigamboni zinasumhuq saana hasa wakati wa siku za wiki, mfano wa ni ile ilioko kituo cha Mbuyuni karibu na Ilioko Kigamboni Ferry wakati mwingine ziko slow saana ha mara nyingi...
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ndani ya Dar es Salaam kuna kero ya vyoo ambayo ni hatari kwa watumiaji.
Vyoo hivyo vya ni vichafu kwa ndani, vinanuka harufu kali mno kuna uchakavu mwingi pia sasa ni zaidi ya miezi mitatu hakuna taa za chooni na chache zilizopo haziwaki, kila nikienda hapo...
Nyumba ipo kigamboni Mwembe mtengu inauzwa na mwenye nyumba.
Master 2
Living room 2
Kitchen 1
Public toilet 1
Dinning 1
Seating 1
Ukubwa eneo 400sqm(20*20)
Bei 38Mil
MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA KWA AWAMU
MAWASILIANO
+255784379396
Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko.
Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad!
Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo!
Hadi sasa eneo hilo...
Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
Anonymous
Thread
eneo
katika
kibali
kigamboni
maji
mtaa
nani
ujenzi
Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi
Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois
Umri : 3.5months
Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo
Walipo: Kigamboni-Kibada
Mawasiliano: 0713621678 au...
Tunaomba jamii ione na ipaze sauti kuhusu hiki Kituo cha Daladala cha Kigamboni, ona hali yake ilivyo.
Wilaya au wahusika wameshindwa kukijenga au? Kipo opposite ya Ikulu, kipo kwenye mlango wa bahari pahala ambapo ni Mjini kabisa, hali yake mbaya sana.
Tunateseka mvua zikinyesha, Mbunge yupo...
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu.
Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20
Bei:- million 25 maongezi yapo
Call/WhatsApp:- +255766534488
Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana.
Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku.
Hilo la pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.