Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya Sh501 bilioni). Mradi huo uliopo Kigamboni, Dar unapata mteja ikiwa ni baada ya ujenzi wake...
Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki.
Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
"Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje?
Mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mgumu (ulikuwa na ugumu wake) ikiwemo mazingira ambayo yalitokea matokeo ya uchaguzi Mkuu...
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) leo amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa chuo cha VETA cha Wilaya ya Kigamboni.
Ujenzi huu unaofanyika kwa awamu unatarajia kiwa na majengo 24. Dkt Ndugulile aliishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kujenga chuo hiki katika Wilaya ya Kigamboni...
Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
Habarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am
Uwe na vitu hivi personal prptective equipment.
1. Steel toe safety boot
2. Cotton overcoat
3. Helment
Representing company
Ten associates
P.O.Box...
Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba
Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni.
Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa mfumo wanaoutaka wao ili wautumie kwa namna wanavyotaka wao.
Ndani ya kivideo cha awali kwa ajili ya...
Habarii great thinkers,
Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi?
Kwa maendeleo ya mpira.
Kigamboni magogoni, pc
Chumba kimoja 1 master na jiko ndani
Maji bure
Kodi 180,000 kodi ya mwezi
Miezi (6)
Mita 15 barabara kubwa
Vyumba vyote ni vipya.
Piga 0712347749
Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30
Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa
Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
Wadau,
Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.
Ipi ni sehemu sahihi?
Nyumba mbili zinapangishwa Kisota Kigamboni, barabara ya Damian Do Amsi Road, Kilometa 8 kutoka Feri). Nyumba moja ni ya vyumba 3 (self-contained with a master bedroom). Nyumba nyingine ni chumba kimoja cheny sebule, jiko na choo ndani. Nyumba zote ziko ndani ya uzio mmoja na kila moja ina mita...
Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje.
Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849.
Nyumba ina vyumba 3.
Master 1, viwili vya kawaida
Choo cha public kipo ndani kingine nje.
Sittingroom, deningroom
Flem za biashara 2.
Kozi 2 ya uzio
Eneo la kujenga mabanda ya uani...
Wanajamvi
Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati.
Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.
Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu.
Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje.
Ama ukiona hili...
Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka.
Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni.
Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo.
You...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.