Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke.
Nawasilisha
Yaani kigamboni pamekaa kushoto sana, pantoni zenyewe magumashi tupu, kuna muda usiku huwezi kupata huduma. Kuishi kigamboni ni sawa na kuishi Bujumbura tu. Changamoto ni nyingi...
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
Historia ya mji wa kigamboni ilikuwa shamba, kama ilivyokuwa mbezi beach na maeneo mengine yaliyokuwa pembezoni mwa mzizima (Dar)
Mawazo ya kuleta kivuko pale kigamboni yalilenga tiba ya dharula kwa wakati huo teknolojia ilikuwa haijasambaa duniani!
Hivyo matumizi ya kivuko siyo usafili wa...
Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost.
Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea.
MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu...
MH. RAIS SAMIA ANAHITAJI WATENDAJI WA DHATI KIVUKONI KIGAMBONI NA MANISPAA KWA UJUMLA
Umati ni mkubwa.
Kivuko kimoja tu ndio kinachofanya kazi
Muda wa kusubiri ni zaidi ya Saa moja
Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo.
Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko.
Kwa upande wa...
Hizi kadi za kielektroniki zililetwa kwa mbwembwe nyingi na ilielezwa zitatumika maeneo mengi ya kufanya malipo ikiwa pamoja na mwendokasi.
Lakini cha ajabu leo hii kadi hizi zinatumika kwenye mpira wa ligi kuu na kule kwenye vivuko/pantoni za kuvukia kigamboni tu basi. na ukifika maeneo haya...
Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni.
Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka
Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama...
21 April 2022
Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania
MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE
Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148...
Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote.
Bei 950,000/=
Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote.
Bei 950,000/=
Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
Hivi tuna mkakati wowote wa kufufua kiwanda cha kusafisha mafuta Kigamboni au Pengine kujenga kingine Kipya kule bandari yaTanga
Ili kiende sambamba na Ukamilishaji wa Mradi mkubwa wa Bomba la mafuta ghafi kutokea Uganda
Nauliza tu isijekuwa tuna subiri mafuta yapite hapa kwetu yaende Arabuni...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa.
Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu.
Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.