Mwanachama wa Chama Cha ACT Wazalendo, Kiza Hussein Mayeye Mei 03, 2025 amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho.
Kiza Mayeye ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa ACT...