kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Maajabu ya kutisha ya Mto Rutale (Chemchem ya Rutale) - Kigoma Ujiji

    Miondoko hii ya maandishi haijafanyiwa utafiti wowote bali ni nadharia za kusikika kutoka kwa mashuhuda mbalimbali kunako mtikisiko wa maajabu ya chemchem hii kongwe ya Kanyabeza inayopatikana eneo la Rutale, pia unaweza kuita chemchemya Rutale hivyo unaruhusiwa kupinga au kukubali, kupunguza au...
  2. Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

    Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Mini mart katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Shule ya msingi Katubuka, Mwanga Kaskazini, wilaya Kigoma Mjini, mkoa Kigoma...
  3. Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

    Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje? Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini. Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
  4. Hatimaye Mkoa wa Kigoma Wapata Umeme wa Gridi ya Taifa

    Bila shaka Kazi inaendelea.. Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati. Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa. Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia...
  5. Wazazi walalamika Wanafunzi wa shule tatu za Msingi kusomea chini ya miti Kigoma

    Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha. Hayo yameelezwa na...
  6. J

    Kinana atua Kigoma katika ziara ya kuimarisha chama

    CDE KINANA ATUA KIGOMA KWA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani...
  7. Kigoma: Afisa Mtendaji ashtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za Umma

    TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imefungua shauri la Uhujumu Uchumi Na. ECC. 22/2022 katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo, Agosti 29, 2022 dhidi ya aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyaruboya, Boniface Balishimura Kibada. Bw. Kibada anatuhumiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma...
  8. M

    ACP Ramadhani Kingai, wasalimie Kigoma

    ACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma, uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijakupenda
  9. Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  10. Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

    Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza! Walizipita hospitali za Kitete Tabora...
  11. Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea. Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake...
  12. Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

    Mtoto James Januari (4) aliyejeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu sita wa familia moja yaliyotokea kwenye Kijiji cha Kiganza, Halmashauri ya Wilaya Kigoma amefariki usiku wa kuamkia leo Julai 5, 2022. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni, Dkt. Stanley Binagi amethibitisha kifo...
  13. Kigoma: Watu 6 wa familia moja wauawa kikatili usiku wa kuamkia Julai 3

    Watu sita wa familia moja wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili na Watu wasiojulikana katika Kijiji cha Kiganza wilayani Kigoma Mkoani Kigoma. Familia hiyo ya Mussa Cheche kwa sasa waliobaki hai ni Mtoto mwenye umri wa miaka 4 ambaye amejuruhiwa na...
  14. Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  15. Meneja wa TRA Kigoma asimamishwa kazi

    Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi! Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya...
  16. Burundi kuna amani sana, lakini kule Kigoma ndiyo kwanza recruitment zinaendelea

    Ukitaka kujua wakimbizi ni Biashara nenda Kigoma kwenye zile kambi, kule kuna wakati zile NGOs zilizo jazana kule zilikuwa zina gombana wao kwa wao kila mmoja ikipigania kuwahudumia wakimbizi. Kuna wakati zilijuwa na bifu la kufa mtu, sasa jiulize kwa nini bifu kisa wakimbizi? Kule kwenye...
  17. Katibu Mkuu Wizara ya Afya ataka Mganga Mkuu Wilaya ya Kigoma aondolewe kwa kutokuwa muwajibikaji

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amelalamikiwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma ya afya na kukosa uwajibikaji pamoja na kuonesha utovu wa nidhamu Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi akiwa katika ziara Mkoani Kigoma ambapo pia inadaiwa mganga huyo...
  18. Kigoma: Wanaume walia kunyanyaswa na wake zao, wataka Madawati ya Kuwatetea

    Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP). Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
  19. Wanaonekana wa ajabu lakini watarejea Kigoma matajiri sana

    Unaweza kuwaita chawa,wanaa,wambeya na jina lolote fanani nalo. Picha hapo juu ni Mwijaku na Baba Levo vijana maarufu kwa sasa hapa Tanzania hasa kwenye tasnia ya sanaa. Kinachonivutia kwao ni namna wanavyoisaka shilingi pasi na kujali kuitwa majina tajwa hapo juu bali wao wanajali...
  20. N

    VIDEO: YANGA WALIENDA STAREHE LIVE BAND HUKO KIGOMA KABLA YA MECHI VS RUVU

    Kazi na dawa, mabingwa watarajiwa wa kombe la klabu bingwa afrika mwaka huu ambalo litawapa tiketi ya kwenda kuwakilisha bara hili la giza kwenye FIFA club world cup , Yanga sc walikula bata la kutosha na bendi ya malaika music band huko kigoma kabla ya mechi yao na Ruvu shooting iliyoisha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…