kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Kigoma Region Tanzania

    NGORONGOJO: Usafiri wa watoto mkoani Kigoma

    Ngorongojo ni usafiri uliokuwa ukitumika enzi za nyuma na hadi hivi sasa hapa mkoani Kigoma. Ngorongojo huundwa kwa miti migumu, hivyo mchakato wake wa utengenezaji unaanzia maporini ambapo ni lazima kwenda kutafuta miti migumu kwenye mapori. Ngorongojo ina mpini "kishikio" ambapo hutegemea...
  2. Corticopontine

    Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  3. MsemajiUkweli

    Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
  4. J

    Kigoma ni sawa na Makete dini iliingia mapema lakini wamechelewa sana kupata maendeleo, Waha na Wakinga matajiri wa Kariakoo!

    Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana. Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao...
  5. J

    Kampeni Kigoma ni shwari kabisa hakuna malalamiko labda kwa vile Chadema hawashiriki!

    Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana. Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu.. Eid Mubarak!
  6. Allen Kilewella

    Chadema ina mgombea Buhingwe?

    Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA. Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?
  7. D

    Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

    Umbali wa kutoka Kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM Ili ufanikiwe kutoka Kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi! Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya...
  8. uberimae fidei

    Kigoma mpaka dar kwa miguu

    Uyu jamaa yuko katika hali gani,kutoka kigoma mpaka dar kwa miguu si mchezo.alafu mechi inahairishwa kizembe
  9. Matope

    CCM kuzindua rasmi kampeni jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma - Twende na Dkt. Florence Samizi

    Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto. Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa. Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni. Kiufupi kesho ccm...
  10. U

    Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

    Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma Katibu Mkuu wa...
  11. Kichuguu

    Recipe ya Kauzu wa Kigoma

    Natafuta Recipe nzuri ya kupika kauzu wa Kigoma; wenye kujua mapishi ya kauzu nisaidieni.
  12. Emmanuel180

    Gari za Cassablaca Kigoma na Tv za nyumbani

    Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi. Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa...
  13. Shadow7

    Kigoma: Auawa kwa kukatwa shingo, wauaji waondoka na kichwa

    Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Janda wilayani Buhigwe mkoani Kigoma aliyetambulika kwa jina Shinze Mugarama ameuawa kwa kukatwa shingo kijijini hapo na wauaji kuondoka na kichwa chake. Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi wa Polisi James Manyama amesema marehemu ambaye hana...
  14. Ushimen

    Job Opportunities At TANROADS Kigoma Region, April 2021- (5 Various Posts)

    1. JOB TITLE: LABORATORY ASSISTANT (ONE) 1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES ● Collection of material samples from various construction sites. ● Investigation of borrow-pits ● Making sure that laboratory equipments are well taken care of. ● Make timely reports on equipments that need repair...
  15. B

    Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma

    Nondo na Zito punguzeni speed maana kila mtu anajua Kigoma ilikuwa nyuma kwa miaka miaka mingi na Kuna agenda mahususi za mkoa huo. Jana Zitto amesimamia kidete suala ya Uraia akiwa chini ya cover ya hoja iliyoletwa ya Uraia wa Dr. Mpango. It's true Kigoma Kuna changamoto ya wakaazi wengi kukosa...
  16. Ileje

    Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

    Kuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa. Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi jirani wanahamia Kigoma. Jambo linalotakiwa ni kujibu hoja mnazoulizwa kwa usahihi na siyo kuanza...
  17. J

    Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

    Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru. Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi...
  18. Miss Zomboko

    CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

    Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma. Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...
  19. C

    Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

    Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa. FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.
  20. J

    CHADEMA itashiriki uchaguzi mdogo kule Kigoma?

    Kigoma kuna jimbo moja la uchaguzi liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndugu Nditiye kufariki dunia. Kwa kuwa Rais mpya mhe. Samia Suluhu amesema tushikamane na tuache kunyoosheana vidole, ndio najiuliza Chadema watashiriki uchaguzi huo mdogo? Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom