Siku ya leo kwa hali inayoonyesha ni makusudi kabisa, timu ya kampeni ya Magufuli imegonganisha shughuli zake za kiserikali na ujio wa Tundu Lissu mkoani Kigoma.
Ni kwa muda sasa Lissu amejaribu kukutana uso kwa uso na Magufuli huku watu wa Magufuli wakitumia kila njia kukwepa hilo lisitokee...