Inakuwaje zinapita siku 3 hakuna umeme? Tena hapa Kigoma Manispaa, bora ingekua Kibondo huko.
Unalala unaamka siku moja, mbili tatu hakuna hata huo umeme, kesho tunaamka siku ya nne bila umeme lakini maeneo mengine upo.
Hawatoi taarifa kwanini wamekata, ukienda ofsini kwao hupewi majibu ya...