Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma - Maweni.
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - MNH, Dkt. John Rwegasha
Dkt. Jesca ambaye...
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika mnamo tarehe 10 Juni, 2023 alikutana na viongozi wa dini zote wa Jimbo la kigoma kaskazini ikiwa ni utaratibu wake kukutana na taasisi mbalimbali jimboni.
Lengo la kikao hicho ni Muendelezo wa kushukuru, kupokea ushauri na maoni kutoka kwa...
Hello,
Kuna mdogo wangu wa kiume yupo Kigoma anatafuta kazi yoyote iwe ya kuuza duka, kusimamia lodge au bar, kusimamia mashamba ama miradi, stationary n.k
Ana elimu ya kidato cha 4 ila pia amesomea masuala ya marketing level ya cheti, ni mpambanaji sana.
Ana uzoefu wa kutumia computer na...
Viongozi kadhaa wa Kigoma kuwa jiji umefikia hatua nzuri na labda kutangazwa mapema kuliko watu wengi wanavyodhani.
Group la viongozi la WhatsApp linalopush hii agenda limesema Mambo yameiva kilichobaki ni suala la muda tu.
Wataalam wa siasa za Kigoma wanadai huenda Zitto Kabwe akawa meya wa...
Kwa majina naitwa dasp. Nimezaliwa na kukulia mwanza na baadae kuelekea sehemu mbalimbali niki jitafutia elimu baadae ajira.
Kabla na baada ya kuhitimu nilikuw nikijishughulisha na shughuli mbalimbali za kijasilia mali na Ajira za mikataba. nilibahatika kufanya kazi katika taasisi binafsi...
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.
Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania...
Wazee kwa vijana wamekubaliana kwa pamoja kuhusu Umuhimu na ulazima wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Ushahidi wa Jambo hili ulitbibishwa Jana Jioni huko Kibondo.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa huo ulitelekezwa kwa miaka mingi kwenye ujenzi wa barabara.
Hata hivyo mara baada ya Dr Mpango kuwa...
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani.
Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
Niliwahi kuleta Uzi kwa nia ya ku whistle blow taarifa nyeti ya mtu ninayemshuku kuwa ni gaidi wilayani Bwagamoyo.
Nilimshuku mtu huyo baada ya ishara kuu Tatu.
1. Tulianza mijadala ya kawaida ya kidini lakini baadaye akwa nanaishawishi nibadili dini.
2. Alipoona sielekekei kukubaliana naye...
CHADEMA wamezindua operesheni yao Kigoma, na katika malengo ya operesheni, mojawapo ni Katiba, lakini inaonekana wameingia katika Kambi ya ACT Wazalendo iliyo chini ya Zitto Kabwe-Mkoa wa Kigoma.
Watu walikuwa wachache sana japo makumi ya mamilioni yametumika kuandaa mkutano huo. Wana Kigoma...
Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea.
Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi...
MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA
SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
MBUNGE MARTHA FESTO AIBANA WIZARA YA MAJI KUPELEKA MAJI MPANDA NA KATAVI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA
"Sisi Wananchi wa Mji wa Mpanda, Mkoa wa Katavi tuna changamoto kubwa sana ya Maji ukizingatia Mji wa Mpanda ni Mji unaokua kwa kasi na kuwa na ongezeko kubwa sana la watu. Mji wa Mpanda Serikali...
Msafara wa Viongozi uliokuwa ukielekea Kigoma kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Oparesheni mpya ya Chama umepata ajali saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023.
Ajali hiyo imetokea wilaya ya Uyui Tabora, Kata ya Kigwa, Waliopata ajali Yohana Kaunya Kaimu Katibu Mkuu Bavicha, Nuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.