Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.
Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma jambo la kwanza unalotakiwa kuwa nalo (kichwani) kabla ya yote unatakiwa kuwa na uelewa mzuri wa maswala ya elimu ya uraia na utaifa. Kwasababu hiyo ndio fitina ya kwanza utakutana nayo pindi tu ukihitaji kujitanua kihimaya. Uraia ndio fimbo ya...
Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa.
Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
Mojawapo ni jina lake sahihi: Kihomoka, Kiyomoka, Kyomoka, Kiomoka, n.k. Wenyeji wa Kakonko waliomo humu watarekebisha.
Ni kizuizi cha kukagulia magari. Kipo Kakonko mkoani Kigoma, ikiwa ni kizuizi cha kwanza mara tu baada ya kuvuka daraja la mto Muyovozi (sijui kama ndivyo inavyoandikwa)...
Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana.
Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake.
"Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo...
Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale zaidi ya jihad!!
Sitarajii mtu ajisifu kufunga kitimu hicho ambacho hata kwenye 30 bora ya Afrika...
Bado unayo nafasi ya kuitazama milima ya Congo DRC ukiwa hapa Kigoma, mlima tambalale uliyonyooka kwa mapana uliopakwa rangi ya blue ni nchi ya Zaire, utafika katika nchi hiyo kwa usafiri wa Boti, ni rahisi sana kutokea hapa kwetu Kigoma.
Hapa ni Kigoma Karibu na Station Milima ya Blue...
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
Ni wakati wa kubadili mwelekeo kukomesha ubaguzi wa kimfumo, ni muhimu kwa nchi kupitisha "ajenda maalum ya mabadiliko ili kung'oa ubaguzi wa kimfumo juu ya ukiukaji wa haki za kibinaadamu, kiuchumi, kijamii, kitamaduni, kiraia na kisiasa unaowakabili watu wa asili ya mkoa wa Kigoma.
Mijadala...
https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4
Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo.
Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe.
Jumla ya watu 11 wakiwemo watumishi saba wa manispaa ya Kigoma Ujiji na maafisa wawili wa Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka 11 ikiwemo shitaka la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha...
Reli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.
CnP
Position: TVET Expert Enabel
Category: National
Location: Kigoma, Tanzania
Reference: 21017
Job description
As a TVET Expert, you will work on the bilateral Country Program. You will report to the International TVET Expert. You contribute to the implementation of the...
Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma.
Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
BUHIGWE
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kigogwe wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma ametoa wito kwa serikali kupitia wizara ya ujenzi na makampuni ya ujenzi kuweza kujitolea kukamilisha ujenzi huu ambao kwasasa unaendelezwa na wanakijiji,
Ndugu Methusela Ntahonsigaye ambaye ndiye mwenyekiti ameeleza ya...
Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu.
Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
Anonymous
Thread
jana
kigoma
kijiji
maovu
mauaji
mkoa
nguvu
rpc
tarehe
Salaam!
Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms.
Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms.
Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.
Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.
Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda...
Kwa nini vimbunga huzunguka kinyume cha saa ("anticlockwise") katika hemisifia ya kaskazini na kama saa inavyozunguka ("clockwise") katika hemisifia ya kusini? Au, kwa maneno mengine, kwa nini vimbunga huzunguka kinyume cha saa huko Marekani na kama saa nchini Tanzania?
Vimbunga huzunguka...
Je umewahi kusikia milango 7 ya kuzimu ya Ziwa tanganyika? sio hadithi za kusikika ni vitu ambavyo vipo na vinatendeka hadi sasa, tutaileta mada hiyo siku zijazo, leo tunazungumzia Mizimu iliyoibiwa hapa mkoani Kigoma.
Itakuchukua dk 12 kusoma taarifa za maajabu haya
Kwanza fahamu maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.