Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.
Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi.
Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo September 2022 kozi ya pharmacy ngazi ya cheti maana waliwaambia wakae vyeti vitatoka na hadi...
DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua.
Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama Sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na Shinyanga.
Kifupi Kigoma haina sura mbaya hivyo inayoonekana. Ila...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental).
Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi...
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa...
Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo la Uzi huu ni kutoa fursa ya kufahamiana kwa urahisi sisi tuliotoka mikoani na sasa tunaishi Dar es salaam
Hatukusudii kujadili uzuri au ubaya ya Kabila fulani hapa nchini.
Niende kwenye mada
Kwa hapa Dar es salaam sisi watu wa Mkoa wa Mara na hasa jamii ya...
Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu...
Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,.
Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza??
Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
Habari ndugu?
Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100.
Karibu Pm.
NITALIPIA
Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko?
TANESCO
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amezielekeza timu za Menejimenti za Halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinasimamia na kudhibi upotevu wa mapato yanayotokana na makusanyo ya ndani katika Halmashauri hizo
Andengenye ametoa maelekezo hayo alipokuwa akifunga kikao kazi kilichomkutanisha...
Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 huku akisisitiza kuwa kwa vyovyote vile anataka kurudi Bungeni kwasababu anaamini miaka mitano hii Bunge limerudi nyuma kwa sababu ya kutokuwepo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake.
Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na...
Ama kwà hakika hayawi hayawi yamekuwa,jana majira ya Mchana nguli la soka la Moira wa Miguu mwamba wa Lusaka mara baada ya kumaliza mapumziko yake kutokana na kuiwakilisha Nchi yake katika mashindano ya AFCON huko Ivory Coast.
Sasa wapenzi wa Simba tuna uhakika Timu yetu itashinda mechi ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.