kigwangalla

  1. snipa

    Account ya Dr Kigwangalla inapush X Token ambayo ni scam, kimbieni kama pi Network.

    https://x.com/HKigwangalla/status/1893226663623762175 Wadau X Token zipo nyingi sana ila asilimia kubwa ni scam, jambo lakutambua ni kuwa Musk Hana Token yeyote inayoitwa XToken, msije mkajichanganya. Kwa mujibu wa Grok Musk Hana Token yeyote inayoitwa x Token.
  2. T

    Pre GE2025 Kigwangalla asema aliyoyafanya Lissu kwa Zitto Kabwe takribani miaka 11 iliyopita yamemrudia! Hatoboi huu uchaguzi, Je ataenda CCM? CUF au NCCR?

    Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu “I ain’t going nowhere…” Akasema tena situation yake na ya Mhe. Zitto ziko tofauti sana, akidai kuwa...
  3. Yoda

    Kigwangalla aambiwe amefika alipofika kwa mbeleko zaidi, aache kudharau vijana mafukara.

    Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye mwenyewe alishindwa kura za maoni akabebwa na baadaye jimbo likagawanywa ili aendelee kubaki mbunge...
  4. Waufukweni

    Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  5. Yoda

    Hamisi Kigwangalla huna "moral authority" ya kupigania mabadiliko sahihi ya mfumo Simba SC.

    Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui mwekezaji Mo. Kigwangalla amelikomalia sana hili suala kana kwamba ana maslahi yoyote Simba zaidi ya kuwa...
  6. A

    KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  7. Mjanja M1

    Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
  8. Mjanja M1

    Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  9. BARD AI

    Pre GE2025 Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

    Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti? Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
  10. K

    Kigwangalla: Baada ya mipango mizuri iliyotengenezwa kumuangusha Gekul na Chongolo, nani anafuata? Kuna wengine wanakuja!

    Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza ku-guess anayefuata ni nani? Competitive intelligence imejikita kwenye kujua kitakachotokea kabla...
  11. J

    Kigwangala ana nini?

    Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo? Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake binafis akatuharibia mwenendo wetu so far Mo kaifikisha simba sehemu ambayo wengine walishindwa badala...
  12. MSAGA SUMU

    Kigwangalla: Rais anaweza kuwafutia kesi lakini suala la kulipa mikopo ya benki ni jukumu lao la msingi

    Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo. Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala...
  13. J

    Bucha za nyamapori zilizoasisiwa na Kigwangalla zimeishia wapi?

    Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho. Je, hizo bucha bado zipo? Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
  14. Sildenafil Citrate

    Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  15. mshale21

    Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

    Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini? Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani" Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter Mkiendelea...
  16. K

    Namuunga mkono Kigwangalla kwenye hili la DART

    Nakubaliana na Kigwangalla kwenye hili. Tatizo letu kubwa kwenye mradi huu ni wizi wa viongozi wa mradi. Je wanaibaje? Viongozi wanaojinufaisha na mradi huu hawataki kata kata utumiaji wa kadi za mabasi ufanikiwe kwasababu ukifanikiwa hawataweza kuiba. Hivyo kila siku wana hakikisha kuna...
  17. JanguKamaJangu

    Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

    Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter: ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri...
  18. S

    Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  19. JanguKamaJangu

    KIGWANGALLA: Wawekezaji wa Vitalu wanahonga sana pesa, wapo tayari KUUA wapate wanachotaka, ukikataa wanakutegea mtego wa Rushwa

    Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu. “Wawekezaji hasa wa vitalu wanapenda kuwa na maeneo makubwa, wale wa picha siyo sana, watu wa vitalu...
  20. John Haramba

    Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
Back
Top Bottom