Waziri wa Maliasili na Utalii, na Mbunge wa Nzega Vijijini, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amechukua hatua za kisheria kwa wahariri na wamiliki wa gazeti la Jamhuri kwa madai kuwa wamekuwa wakimchafua katika machapisho yao.
Ambapo amechukua hatua...
Desemba 31, mwaka jana Rais John Magufuli akiwa mapumzikoni katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita aliwapa siku tano viongozi hao kupatana, vinginevyo angetengua uteuzi wao.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa chanzo cha ugomvi huo ni matumizi mabaya ya fedha...
Wakati Dk Hamis Kigwangalla akiambatana na wasanii wa bongofleva kuhamasisha utalii wa ndani, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametoka kivingine.
Kwa kutumia fursa ya Tanzania kuandaa mkutano wa kimataifa uliowakutanisha wadau wa korosho kutoka kila pembe ya dunia, Waziri Hasunga ameviuza...
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.