kigwangalla

  1. J

    Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo. Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
  2. Naipendatz

    Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

    hamisi_kigwangalla SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera...
  3. Dead Man

    Kigwangalla: Serikali Iwafikirie Wajasiriamali na wahangaikaji

    Mbunge wa Nzega vijijini Dr. Hamis Kigwangalla Ameomba serikali kuwafikiria wajasiriamali na wahangaikaji wengine.
  4. J

    Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

    Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
  5. Cannabis

    #COVID19 Dkt. Kigwangalla adungwa chanjo ya Corona aina ya Sputnik V

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi. Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa...
  6. S

    Kigwangalla usokolokwinyo huu atauacha lini?

    Dk Kigwangalla ana sifa zote za mtu aitwaye HASIDI. Hasidi ana pande mbili:- upande ni mtu mwema na upande mwingine mnafiki. HK anacheza na vitu 2:- bosi wake na nyakati. Siyo wa kuamini tena huyu Ni kisokolokwinyo aliyeenda shule. Akiwa waziri wa afya aliunga mkono wazo la jpm la watu...
  7. J

    Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

    Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital. Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu. Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  8. Replica

    Kigwangalla: Hatuzungumzii tena Uchumi wa Gesi, miaka ijayo haitakuwa na maana

    Mbunge wa Nzega vijijini, Hamis Kigwangala amesema uchumi wa gesi hauzungumziwi tena nchini ilhali yeye alidhani ungekuwa neema akikumbuka jinsi walivyozungumza Bungeni Mwaka 2010. Kigwangalla anasema bei ya gesi inazidi kushuka duniani. Amesema makadirio ya bei ya Gesi miaka 15 ijayo itazidi...
  9. J

    Dr Kigwangalla: Mzee Kikwete alinifungulia mlango wa kuingia kwenye siasa, namtakia maisha marefu!

    Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana. Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha. Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu...
  10. J

    #COVID19 Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

    Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa. Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
  11. Elius W Ndabila

    Tunamjeruhi Dkt. Kigwangalla, wengine wakiguswa tunawaficha kwenye kichaka cha Hayati

    KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu aliyoyabaini CAG kwa kigezo kuwa ni kutaka kumchafua hayati Magufuli. Upotoshwaji huu wa wazi wazi unaofanywa...
  12. Chaliifrancisco

    Dkt. Hamis Kigwangalla: Msimamo wangu kuhusu tiba ya Corona

    Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana. Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la kufubaza heshima (legacy) ya mtazamo/msimamo wa hayati Rais John Magufuli hata kidogo. Niliunga mkono sera...
  13. J

    Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

    Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza. Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale. Ukinizingua Nakuzingua!
  14. J

    Mapacha watatu bungeni: Hamis Kigwangalla, Hamis Mwinyijuma na Hamis Taletale wakali wa CCM

    Dr Hamis Kigwangalla alishinda bila kupingwa jimbo la Nzega vijijini Hamis Taletale alipita bila kupingwa jimbo la Morogoro kusini mashariki Hamis Mwinyijuma alishinda kwa kishindo Jimbo la Muheza Hawa ndio mapacha watatu katika bunge la Ndugai kwa tiketi ya CCM lakini pia wanapendelea...
  15. J

    Tabora: Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Rage, Prof Kapuya, mwanaspoti Maulidi Kitenge iponyeni CCM!

    Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM. Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk. Tabora ndio chimbuko la...
  16. J

    Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

    Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
  17. J

    Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

    Dkt. Kigwangalla ambaye ni waziri mstaafu wa Serikali ya awamu ya 5 amesema kwa sasa amejikita kwenye ufugaji kwa kuwa ujasiriamali unalipa kuliko kitu kingine chochote. Kigwangalla amesema kwa sasa anamiliki shamba kubwa la mifugo huko Mvomero mkoani Morogoro ambako anazalisha ng'ombe wa...
  18. J

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji siyo rafiki yangu tena atabaki kuwa jamaa tu, hajasababisha nipoteze Uwaziri

    Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles. Akizungumza na Salama Jabir wa Eatv Dkt. Kigwangalla amesema baada ya mzozo wa mkopo wa pikipiki Mo Dewji alimpigia...
  19. J

    Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

    Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali. Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana. Maendeleo hayana vyama!
  20. J

    Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
Back
Top Bottom