Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi.
1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa ndogo sana.
2. Ingekuwa na watumiaji wengi...