kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Msaada wa App inayoweza kugenerate autocaption za kiingereza

    wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
  2. GUSSIE

    Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

    ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo. Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri...
  3. B

    Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane

    Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo zinanifariji katika kipindi hiki ninacho watoa watoto wangu english medium kuwaleta kayumba. Kwanza...
  4. Mpatuka

    Mtihani wa kiingereza kwenye mchakato wa kupata ufashili wa masomo

    Habari za muda huu wajumbe katika jukwaa letu pendwa natumaini mu wazima wa afya, bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kuulizia ule mtihani wa kiingereza unaofanyika kukupima kama unaimudu lugha hiyo kwaajili ya kupata ufadhiri wa masomo kwa hatua ya postgraduate studies...
  5. A

    Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

    WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8). Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri...
  6. proton pump

    Namna presentation (uwasilishaji) kwa Kiingereza unavyosumbua

    Katika harakati za masomo unakumbana changamoto nyingi sana. Nikiwa chuo kikuu mwaka wa kwanza nilichukua course linguistics huku kiingereza changu cha kuungaunga kutoka St. Kayumba primary and secondary schools. Tukapewa kazi ya ku-present (mawasilisho, assignment) mhadhiri mwenyewe mnoko...
  7. B

    23% tu ya wanafunzi ndiyo wanamudu lugha ya kiingereza kidato cha kwanza sekondari

    Mwanza, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa darasa la kwanza na darasa la tatu shule ya msingi wawe mahiri ktk masomo yao huku vigezo vya lazima...
  8. GENTAMYCINE

    Mgeni Mkubwa akitua tuongee nae Kiingereza cha Kuzungumza na siyo cha Kuandikiwa au kusaidiwa na Mkalimani

    Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
  9. M

    Sala ya toba kwa kiingereza: Ukiiomba kwa kumaanisha, unaokoka!

    If you want to accept Christ as your Savior and turn from your sins, you can ask Him to be your Savior and Lord by praying a prayer like this: "Lord Jesus, I believe you are the Son of God. Thank you for dying on the cross for my sins. Please forgive my sins and give me the gift of eternal...
  10. kavulata

    Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
  11. kavulata

    Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  12. Lanlady

    USHAURI: Somo la Kiingereza kwa shule za msingi lifutwe ama lianze kufundishwa tangu awali

    Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla. Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe tu, wanafunzi wajifunze mambo mengine ya muhimu. Atakayehitaji atajifunza kwa wakati wake hata...
  13. kavulata

    Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

    Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala. Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
  14. Lycaon pictus

    Vifupi(aka) vya majina ya kiingereza na kiswahili.

    William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti ............................................................
  15. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM unapata wapi uhalali wa Kukicheka Kiingereza hafifu cha Kocha wa Simba SC wakati Wewe ndiyo hukijui kabisa?

    Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa. Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
  16. W

    Ila elimu yetu hii; Mungu atusaidie tu. Sasa hivi ni mwendo wa kugomewa tu kwanini watoto hawazungumzi Kiingereza!!

    Hadi tarehe 31.3.2023 watoto wote wa f1 inabidi wajue kiingereza.....lazima! Sasa hivi kuna maufuatiliaji yanayofanyika karibu kila siku tangu tarehe 9 zilipofunguliwa shule na moja ya jambo kubwa linaloangaliwa huko ni uzungumzaji wa kiingereza. Matokeo mabovu ya Form 2 ya 2022 yamechangia...
  17. Allen Kilewella

    Mwenye kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiingereza anasaidie.

    1. Ubwabwa 2. Wali 3. Pilau 4. Uji wa mapande 5. Mchele 6. Mpunga 7. Chuya 8. Pumba = Rice bran. By Kinyungu
  18. M

    Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  19. Allen Kilewella

    Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani? Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
  20. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga. Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary). Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800...
Back
Top Bottom