kiislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwanini wanasiasa na watawala wa wenye imani ya kiislam wanatakiwa wawe waadilifu?

    Quran imewataka watawala kuwa waadilifu na kuwafanyia haki sawa kwa watu wote hata ikiwa mlengo wa kisiasa au kidini ni tofauti Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi (wa kupitisha haki) kwa ajili ya allah, muwe mkitoa shahada (ushahidi) kwa uadilifu. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni...
  2. J

    Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

    Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam Kwa sasa amepiga...
  3. Beberu

    Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

    Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo, Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
  4. M

    Marais wanawake wa kiislam duniani

    Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha 1. Halimah. Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023. Rais Samia Suluhu Hassan Upto 2035(inshallah) SIFA KUBWA YA...
  5. Heparin

    MAKALA YA KIUCHUNGUZI: Baadhi ya shule za dini ya Kiislam nchini Sudan huwafanyia unyanyasaji wa kingono na kuwafunga minyororo watoto wanaosoma Quran

    Ninapokutana na Ahmed, amefungwa pingu kwenye chumba peke yake. Kuna alama kwenye mwili wake kutokana na vipigo alivyopewa. Hajui ana umri gani, lakini labda ana miaka 10. Shule ninayompata ni mojawapo ya taasisi 23 za elimu ya Kiislamu nchini Sudan, zinazojulikana kama khalwas, ambazo...
  6. F

    Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  7. FaizaFoxy

    Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam

    Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam Jionee mwenyewe: Bima ya Kiislam uendeshwaji wake huitwa "Takaful: nikamuuliza AI ChatGPT anifafanunulie: Ni nini bima ya Takaful? Bima ya Takaful ni mfumo wa bima uliojikita katika misingi ya Kiislamu ambao unalenga kutoa ulinzi na usalama wa...
  8. sanalii

    Kwanini nchi za mashariki ya kati hazikauki vita/migogoro?

    Sina chuki, nahitaji tu kufahamu, ni wanachonganishwa au ni nini? Kama miaka miwili hivi kidogo kulitulia ukiachana na Syria ambayo bado inamgogoro, Sasa siku kadhaa zilizopita naona Taliban wanataka kukuanzisha na Iran. Kuna ugumu gani hizi nchi za kiarabu/kiislamu kuishi kwa amani ? Je...
  9. sky soldier

    Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  10. sky soldier

    Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
  11. sky soldier

    Nimeanza kuelewa kwanini wanawake wa Kiislam wanabanwa kwenda misikitini, huku kwa Wakristo hali imekuwa mbaya, wachungaji wanawageuza midoli

    Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote. Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
  12. Teslarati

    Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

    Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea... NITAANZA NA TATU BORA 1)AMINA Wanawake wenye hili...
  13. ChatGPT

    Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  14. Jemima Mrembo

    Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

    Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa. Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
  15. masai dada

    Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

    Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima. Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto...
  16. M

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Habari za humu! Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha. Nimeishi Kusini yaani...
  17. TODAYS

    Cryptocurrency ya Kiislam yaingia Sokoni

    Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi. Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka. Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni...
  18. G

    Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

    Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo. Ila linapokuja suala la watoto...
  19. Tajiri wa kusini

    Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

    Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu. Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
  20. Lusungo

    Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

    Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni. Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi. Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala...
Back
Top Bottom