Moderators naomba mada hii msifikirie nataka kuleta udini maana katiba ya nchi yetu haina dini naongelea dini moja tu ya uislam sitataja dini nyingine kuzikandia maana ni ukweli ulio wazi kati yetu hadi sasa hakuna ambaye ana uhakika ni dini ipi mungu anaikubali.Najua kuna dini za Ibrahima yaani...
Kifo cha Mahsa Amini msichana wa miaka 22 anayedaiwa kuuawa na Askari kutokana na kutoficha nywele zake kwa Hijab, kimeamsha hisia kali za wanawake na wasichana wanaoshinikiza kuondolewa kwa Utawala wa Kiislam.
Licha ya Serikali kuagiza uchunguzi, bado kumekuwa na mashinikizo ya raia na vikundi...
Mkusanyiko wa mamilioni ya watu wa Iran; kufukuzwa wafanya ghasia na Umma wa Mtume Mtukufu (saw)
========
Wananchi wa mikoa tofauti ya Iran siku ya Jumapili, ambayo ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Mtukufu Mtume (saw) na mkuu wake Imam Hassan Mujtaba (as), walifanya mkusanyiko wa...
Mimi ni mpenzi sana wa kutizama channel za waislam hasa TV Imaan na Swahili TV ya mombasa.
Changamoto inayojitokeza ni mijadala inayoendeshwa katika channel hizi mara nyingi huzungumzia mambo ya ndoa.
Kupeana mapenzi moto moto kwa wanandoa (mawarda) na kuoa wake zaidi ya mmoja, kuna wengine...
Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo.
Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji...
TATIZO LA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI
Ukisoma historia ya Vita Vya Maji Maji utakutana na jina Mkomanile.
Linaandikwa jina moja tu, ''Mkomanile.''
Kwa nini liandikwe jina moja tu?
Huyu ndiye mwanamke pekee katika majina karibu 67 ya mashujaa wa Vita Vya Maji Maji...
Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa vita vilivyopiganwa kwa imani za kishirikina.
Ikumbukwe kuwa kusini mwa Tanzania kuna mkoa unaitwa...
Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia.
Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
Swali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na...
Phobia ni hali ya kuogopa kitu kigeni kitakuwa na mafanikio kuliko chako, phobia katika dini ni dhana ya uoga wamba dini flani itafanikiwa kuzidi yako, hivyo hatua inabidi zichukuliwe ili kuzuia hata kama ni nje ya maandiko matakatifu.
naonaga watu wanasema kuna islamaphobia lakini kiukweli...
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
Swali langu naliojiuliza sana ni kwanini inakuwa ngumu iaka nenda rudi kuzikuta shule za kiislamu na wanafunzi waisalmu kwenye kumi bora.
Shule 10 bora form 4
1. Kemebos - Mkoa wa Kagera
2. St. Francis - Mbeya
3. Waja Boys - Geita
4. Bright Future Girls
5. Bethel Sabs Girls - Iringa
6. Maua...
Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi?
Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam...
Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road.
Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.