kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  2. Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  3. ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali Lakini kwa ZBC...
  4. Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

    Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia. Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa. Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa. Contradiction...
  5. B

    Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza. Fares Al-Sarfandi, ripota wa...
  6. Nikitaka kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu. Hii dini haina ubaguzi na haina njaa njaa kwenye kuoa

    Nasema hivi watu wenye furaha na amani katika kuishi ndoa ni waislamu peke yao kwanza mwanamke na mwanaume wote wanaandaliwa kiakili, busara na hekima za kuishi maisha ya ndoa. Dini nzuri hii pia inawaongoza wazazi na watoto vema waislamu hawana masharti ya umri katika kuoa hasa hasa kama umri...
  7. Video: Hii elimu kwa watoto wa kiislamu namna ya kukata vichwa, haifanyi kuwa makatili

    Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
  8. Mhubiri wa kiislamu alienda wapi? Tuliambiwa kwa mkapa hapatosha

    Amani kwenu Salamaleko Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda? Na walihudhulia watu wangapi Mbona hatupean update LONDON BOY
  9. Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

    Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine. Aisei Marekani wavune tu walichokipanda kwa kuruhusu haya mazombi yahamie huko na kuanza kuzaliana. Mimi kwa kweli hata...
  10. U

    Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  11. Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

    Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia tajiri ya kiasili, zinakumbwa na viwango vya juu vya umasikini, huku wastani wa Pato la Taifa kwa kila...
  12. Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  13. Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

    Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu. Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila...
  14. Ukitaka ku enjoy maisha ya ndoa, is mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya kiislamu

    Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu. Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa. Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
  15. Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  16. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  17. Tukifika mbinguni, wanaume safi tutapewa mabikra 72 tuishi nao. Vipi kwa upande wa wanawake?

    Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki? Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
  18. Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  19. U

    Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  20. Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

    Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi. Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…