Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam?
Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona.
Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa.
Je, chanzo ni nini...
Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake.
Hivi hili jina lina asili ya wapi?
Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk.
Au ndio jina la...
Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa.
An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has been plagued by clashes between rival jihadist groups, local sources told AFP on Friday.
"There...
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).
Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.
Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika...
TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR
Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya kumuombea Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aliyefariki hivi...
Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'.
Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.
Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali.
Kutokana na suala hilo...
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma...
Toka wilayani hai mkoa wa Kilimanjaro Wanafunzi wa 3 wanashikiliwa na Polisi kwa kujaribu kuchoma Bwalo la chakula la shule ya Othman bin Hasani
Source Radionesterio
========
Wanafunzi watatu wanaosoma masomo ya Dini Katika Chuo kinachotoa mafunzo ya Quran na hadithi za Mtume cha Othuman...
Inakuwaje Wanajamvi!
Utitiri wa mataifa ya Kiislamu kutaka urafiki na Israel unaongezeka.
Kosovo tayari wamekubali kuwa marafiki na Israel japo kuna minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa wafia dini nchini humo lakini hamna namna. Asilimia 99% ya wa Kosovo ni Waislam.
Pia Somaliland nao wako...
Honest Kuna demu mmoja mpemba hiv namkubali Sana je nikimtongoza anaweza kukubali kipindi hiki?simaanishi kufanya mapenzi mwezi Huu maana Kuna watu wana vichwa vigumu kuelewa ni kumtongoza tu nakuwa mpenzi wangu bila kufanya chochote mwezi Huu
Nipeni majibu wadau
Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)"
Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.