kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

    Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
  2. Mr Dudumizi

    Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo. Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
  3. Idugunde

    Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  4. L

    Marekani yavuruga usalama wa kijamii duniani kwa kuuzia nchi nyingine silaha

    Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani. Shirika la Habari la...
  5. Mr Why

    Elon Musk hana ujuzi wa maswala ya mitandao ya kijamii

    Elon Musk hana ujuzi wa maswala yote yanayohusiana na mitandao ya kijamii kwasababu amekuwa na tabia za childish tangu awe mkurugenzi wa kampuni ya Twitter. Kwa kawaida mtu anaponunua kampuni yeyote ile anatakiwa kuboresha huduma zilizokuwa zikitolewa hapo awali na sio kuharibu huduma. Bwana...
  6. K

    Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

    Habari zenu watanzania bara wenzangu. Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena...
  7. D

    SoC03 Utawala bora na kupambana na rushwa kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi

    UTAWALA BORA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI Utangulizi Utawala bora na kupambana na rushwa ni masuala muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jamii. Makala hii inakusudia kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kupambana na...
  8. D

    SoC03 Utawala Bora na kukuza ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya kijamii na uchumi

    Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
  9. Librarian 105

    SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  10. K

    SoC03 Maudhui kwenye Runinga na maendeleo ya kijamii

    Yafaa Runinga zetu ziandae vipindi maalumu kuonyesha ubunifu wa nyanja mbalimbali. Mfano Kilimo cha kisasa, Nyumba bora, Wajasiriamali wabunifu, vijana wachapaka kazi, pia kuonyesha heshima ya kazi zenye kuleta maendeleo yanayoenekana sio yakini.
  11. Mwl.RCT

    SoC03 Kupambana Na Uhaba Wa Fursa Za Kiuchumi Na Kijamii: Mikakati Na Hatua Za Kuboresha Maendeleo Ya Watu Na Jamii

    Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea. Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali zinazowezesha watu kuboresha maisha yao, kujifunza mambo mapya, na kuchangia jamii. Uhaba wa fursa ni...
  12. Tonytz

    SoC03 Kukuza ujuzi wa masomo ya kijamii kutaongeza uwajibikaji

    Ujuzi wa masomo ya kijamii ni taaluma ambayo inajumuisha masomo mbalimbali yanayozingatia utafiti wa jamii ya binadamu, miundo ya kijamii, taasisi za kijamii tabia na mienendo katika jamii na mwingiliano katika jamii. Maudhui katika masomo haya ya kijamii huchotwa kutoka vyanzo vya masomo...
  13. Nunias Mathayo

    SoC03 Elimu ya Tanzania iwe ni msingi bora wa kuimarisha maendeleo ya kiuchumi kisiasa na kijamii kupitia fursa mbalimbali

    ELIMU NI MSINGI BORA WA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZA KIJAMII ,KISIASA NA KIUCHUMI KUPITIA MFUMO WA ELIMU TANZANIA ELIMU ni maarifa yanayopatikana kwa njia ya kujifunza au kusikiliza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingne ili kuwa na uelewa juu ya jambo flani linalohusu jamii,uchumi na siasa...
  14. I

    Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  15. Venus Star

    Nepotism katika uhusiano wa kijamii na Uongozi

    Nepotism is the practice among those with power or influence of favouring relatives, friends, or associates, especially by giving them jobs. Nepotism is the act of granting an advantage, privilege, or position to relatives or close friends in an occupation or field. These fields may include but...
  16. M

    SoC03 Tuwakumbuke vijana wa kiume kwenye mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Utangulizi. Kwa miaka mingi sana vijana wakiume walikua wakipewa kipaumbele katika nyanja tofauti tofauti lakini mambo yalianza kubadilika pale matukio ya unyanyasaji wa ulipoongezeka hasa kwa watoto wa kike. Hapa ndipo Serikali na asasi nyingine zisizo za kiserikali kuanzisha kampeni tofauti...
  17. Mwl.RCT

    SoC03 Falsafa ya Julius Nyerere: Uwajibikaji na Utawala Bora kama Msingi wa Maendeleo ya Kijamii katika Afrika

    FALSAFA YA JULIUS NYERERE: UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KAMA MSINGI WA MAENDELEO YA KIJAMII KATIKA AFRIKA Imeandikwa na: Mwl.RCT I. Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii, hasa katika nchi za Kiafrika. Julius Nyerere aliamini katika uwajibikaji...
  18. Analogia Malenga

    Kuna shida ya takwimu za TCRA kuhusu matumizi ya GB kwa mitandao ya kijamii

    Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1 Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48 Mimi niombe...
  19. Daud Nyanda

    SoC03 Matumizi ya mitandao ya kijamii katika utoaji ajira kwa vijana

    Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko...
  20. Advocate_Silayo

    Mitandao ya Kijamii na uwajibikaji wa Raia wa kidigitali

    Tangu kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii imekuwa ni njia rahisi na nyepesi ya kuwafanya watu kukutana kwa uharaka hata kama wapo katika umbali mkubwa sana, leo hii mtu anaeishi Tanzania anaweza kuongea na kuonana kwa macho na mtu anaeishi katika nchi nyingine nyingi Duniani. Urahisi huu umeletwa...
Back
Top Bottom