kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    SoC03 Wakati umefika tuwe na somo au mada kuhusu mitandao ya kijamii kuanzia shule za msingi mpaka sekondali juu ya uwajibikaji katika mitandao hii

    Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii: Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
  2. Mwl.RCT

    SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
  3. Pang Fung Mi

    Kataa ndoa na kataa kuoa ni imani na msingi wa ustawi na maisha marefu kijamii. Haki ya uamuzi binafsi izingatiwe.

    Niende kwenye mada, utimamu wetu kwenye akili na maamuzi binafsi uheshimiwe na uzingatiwe na ulindwe. Kuoa au kuolewa ni hiari na uamuzi binafsi na vinalindwa kikatiba, hivyo basi viongozi waache mikurupuko tafadhari, zingatia mipaka ya mihimili ya dola. Serikali ijiepushe na matamko kinzani...
  4. Magari ya kukodisha

    Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

    Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana Dar es salaam Dodoma Mwanza Arusha Kilimanjaro Mbeya Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
  5. Mwl.RCT

    SoC03 Vijana: Kwanini kuna haja ya Kuwajibika Kijamii?

    Utangulizi: Vijana Kuwajibika kijamii ni muhimu kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa kila mmoja wetu. Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua jukumu katika kusaidia na kuchangia katika maendeleo ya jamii yake. Hata hivyo, vijana wengi wa Kitanzania wanapoteza fursa ya kujitolea kwa ajili ya jamii zao...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  7. Dalton elijah

    Serikali kujipanga kupitia takwimu za sensa kiuchumi na kijamii Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kupitia takwimu zilizotolewa na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Serikali ina jukumu la kujipanga kwa utekelezaji wa kiuchumi na kijamii. Ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar katika shughuli fupi ya...
  8. L

    China yaendelea kuwa msukumo chanya kwenye maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania

    Ni hivi karibuni nimerudi kutoka nyumbani nchini Tanzania, ambako sijaenda kwa miaka mingi kutokana na changamoto za janga la COVID-19. Katika muda mfupi wa kuwepo Tanzania, nimeshuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na juhudi za kuendeleza nchi za mwananchi mmoja mmoja na serikali katika...
  9. C

    SoC03 Madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili

    Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara kadhaa kwa afya ya akili ya watumiaji wake. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo. Kuathiri kujiamini...
  10. KatetiMQ

    Ugonjwa wa wasiwasi

    Umewahi kuona mtu hawezi kuongea mbele za watu? Anatetemeka, anaogopa, haendi kwenye sherehe au mikusanyiko umewahi kujiuliza shida n nini? Umewahi kujiuliza kwanini mtu hawezi kabisaa kukaa mbele darasani? Umeshawahi kujiuliza kwanini mtu anachelewa kuoa au kuanzisha mahusiano au familia...
  11. Innocent Ngaoh

    Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  12. Da'Vinci

    Ulishawahi kufikiria kitu halafu ukakikuta kwenye Mitandao ya kijamii?

    Binafsi sio mshabiki wa mpira kabisa ila 2022 mwishoni nilianza kuahabikia timu ya Yanga, nikajikuta die hard fan. Kombe la dunia lilipoanza nikawa naangalia maramoja moja, siku moja nikasearch Google ratiba ya mechi nikaangalia, baada ya muda usiku nikaingia FB nikaona Meme inayohusu mpira...
  13. Kainetics

    Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  14. Pang Fung Mi

    Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

    Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya. Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
  15. Hemedy Jr Junior

    Video ya watoto inayotrend kwenye mitandao ya kijamii yazua gumzo hii ni haki au?

  16. Sildenafil Citrate

    Mitandao ya kijamii husaidia kuwawajibisha viongozi wa Umma wasiotekeleza wajibu wao

    Katika jamii ya Kidemokrasia, Uhuru wa kutoa maoni Mtandaoni huupa Umma nafasi ya kuchunguza Shughuli za Serikali na kuwawajibisha Viongozi kwa matendo yao. Huwafanya Viongozi wawe Waangalifu na wenye busara katika kutekeleza Majukumu yao kwa uwazi kwa Manufaa ya Jamii nzima. ==== Katika...
  17. The Sheriff

    Mitandao ya Kijamii na Uhuru wa Matumizi Yake Sahihi ni Huduma Muhimu kwa Wengi

    Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
  18. The Sheriff

    Kuna Haja ya Mataifa Kuzidisha Mapambano Dhidi ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Hivi karibuni matukio ya usafirishaji haramu yameonekana kuzidi kushika kasi na kuibuka katika mazingira ambayo watu wengi wasingeweza kudhani. Makala ya hivi karibuni iliyorushwa na kituo cha televisheni cha BBC ilionesha jinsi baadhi ya watu wenye ulemavu wanavyorubuniwa na kupelekwa nchini...
  19. Idugunde

    Kelele za CHADEMA huko Twitter na mitandao ya kijamii mingine unaweza kudhani wanakubalika. Uraiani hamna lolote

    Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu. Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia. Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii. Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
Back
Top Bottom