kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwizukulu mgikuru

    Kijana unayepambana kimaisha using'ang'anie kuishi uswahilini

    Kijana unaepambana kimaisha ukipata auheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji la Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo. Mwanyamala kwa kopa, Manzese, Tandika, Mbagala sehemu sehemu...
  2. H

    SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  3. Marco Polo

    Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

    Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo. Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno. Dogo mziki unaujua hongera...
  4. BWANA WANGU

    Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

    Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
  5. E

    SoC04 Kijana na Ajira

    Kwa kuzingatia Tanzania Tuitakayo hatuna budi mawazo yetu, fikra na mitazamo yetu, imuakisi kijana wa sasa na badaeTukiwa taifa ambalo tumejaliwa kuwa na kila rasilimali, ambazo tunaweza kuzitumia kuipata Tanzania Tuitakayo kuanzia miaka 5 Hadi 25, basi hatuna budi kuwekeza katika Mambo...
  6. J

    Kifo cha kijana kwenye ujana

    Ugumu wa maisha unasababishwa na baadhi ya vijana ambao wameamua kuwa ronyaronya. Vijana wanakuwa machawa. Hawana uwezo wa kufikiri kufanya masuala ya msingi. Vijana aliyosema Mwl Nyerere wako wapi sasa hivi? Hili ni janga kubwa la taifa. Tutakosa watu wa kufanya maamuzi ndani ya nchi yetu.
  7. Engager

    Kijana wangu ana mafindofindo (Tonsils). Tunashindwa kuelewa kama ni ugonjwa au ni maumbile yake.

    Kama kunamtu anauelewa au alishawahi kukutwa na hali hii naomba ushauri au experience yake. Tuligundua mtoto ana mafindofindo yamevimba alipokuwa na umri wa miaka miwili. Tulijaribu kumtibu traditionally. Kuna dawa flani tuu ya kienyeji ya kuyachua kwa siku mbili yanakwisha yenyewe. Tumekuwa...
  8. covid 19

    Jeuri ya nini na sote tupo chini ya jua, ubabe wa nini wakati na wewe pia umezaliwa kijana? Chunga sana

    Maisha ni safari, Heshima na upendo ni vitu muhimu katika safari hii ya maisha.
  9. instagramer

    Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

    Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani. Dar...
  10. Carlos The Jackal

    Ewe Kijana Mchakalikaji, katika Kutafuta, usifanye kosa la kujiwekea Deadline!

    Et nikifikisha miaka 30 nitakua tayari na nyumba, Gari, Mke, Biashara kadhaa ,kazi nzuri n.k ?.... Hivi Kijana kama wewe uwazaye haya wee ni Mungu. Toka juzi Kuna nyuzi naziona ona humu.. Mara... Ulijisikiaje ulipokutana na jama mlosoma ,yeye kafanikiwa. Mara... unajisikiaje kufika miaka 30...
  11. DR HAYA LAND

    Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

    Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose. Usiogope competition (kushindanda) wewe shindana na hao wenye pesa Ukisema unasubiria kupiga mpira...
  12. The Legacy

    Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  13. Dr Matola PhD

    Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

    Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu. Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto. Sasa azimio ni moja...
  14. M

    Kimei alaani mauaji ya kijana Octavian, ataka haki itendeke na kuwatuliza wananchi

    TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela, kitongoji cha Komela Kaskazini kata ya Marangu Magharibi ambaye anashukiwa kuuwawa na askari wa hifadhi ya...
  15. HONEST HATIBU

    Kijana wetu anataka ushauri wa mahusiano

    KIJANA WETU ANATAKA USHAURI Read Carefully 🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini...
  16. Mkwawe

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?
  17. M

    Tazama kijana anayeweza kuongea kama Rais Samia

    Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo Aprili.
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  19. Mowwo

    Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

    Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa mida ya saa 2 usiku Baada ya kufika ilipo biashara tulisalimiana vizuri tu na kijana anaepiga kazi...
  20. F

    Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

    Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela. Udhalilishaji...
Back
Top Bottom