Baada ya siku kadhaa tangu Mwananchi kuripoti kuhusiana na taarifa za kutoweka kijana, Shadrack Chaula (24) aliyetuhumiwa kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amevunja ukimya.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana...