Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
Urusi na mahodari Sana wa mchezo unaotumia akila Sana wa CHESS. Wamefanikiwa kuzima propaganda za west kuwa Urusi ingeweza kuivamia Ukraine ndani ya mda mfupi Sana.
Urusi tayari imefanikiwa kupeleka ujumbe kwa west kwamba kwa ajili ya kulinda usalama wake iko tayari kwa lolote like,kuharibu...
Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi.
Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa kusini na Ukraine.
Marekani imetaja mazoezi hayo - ambayo yanaaminika kuwa ndiyo makubwa zaidi ya...
Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Ripoti mpya ya wataalam wa Umoja wa Mataifa imeeleza kwamba takriban watoto 2,000 waliosajiliwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen kuwa wapiganaji, walifariki vitani, kati ya Januari mwaka 2020 na Mei mwaka 2021.
Ripoti imeeleza zaidi kwamba waasi hao wanaoungwa mkono na Iran, wanaendeleza kambi za...
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE, Pakistan, Tajikistan (UAE imekwishawapa).
Najua ombi hilo likifika Tanzania kuna wale watakaosema 'lakini...
Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo.
Kwa mujibu wa shirika la habari la...
Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia.
Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
Nimefunguliwa akili na wanaharakati flani wa Iran wakiipa changamoto serikali yao. Wanadai Janga la korona limekwanyua uchumi wa nchi yao lakini katika sherehe za kitaifa wao wanaonyesha mambomu mapya waliyoyabuni badala ya maonyesho ya vile ambavyo serikali imefanya kuwaondoa katika wimbi la...
Unachofaa kujua ni kwamba Israeli inabaki katika hali ya ukosefu wa usalama kwa sababu ya kukosa kuafikia amani ya kudumu na majirani zake.
Hilo limedhihirika kutokana na machafuko ya kila mara katika sehemu za Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza hatua inayomaanisha kwamba Yerusalemu...
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo...
Taiwan inasema imeshuhudia ndege 38 zikiingia kwenye eneo lake la ulinzi
2 Oktoba 2021
Uvamizi huo wa Ijumaa uluihusisha ndege za kivita aina ya jet J-16 jets (kama zinavyoonekana kwenye picha hii ya maktaba), Taiwan imesema
Taiwan imeripoti kuwa ndege za kijeshi za Uchina 38 zimepaa na...
Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia.
Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak.
Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.