kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kuna tatizo Gani Rais Museveni kumpandisha Vyeo Kijeshi Mwanae Muhoozi kama ana Uwezo na kakidhi Vigezo?

    Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph Kabila? Kwanini kila mara Rais Museveni akimpandisha Vyeo vya Kijeshi Mwanae Muhoozi mnawashwawashwa...
  2. BARD AI

    Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

    According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
  3. Narumu kwetu

    Urusi: Ujerumani imevuka mstari mwekundu kwa kuipa msaada wa kijeshi Ukraine

    Dah nimeshangaa sana hii habari ,hivi kati ya US na Germany nani kavuka mstari mwekundu .Germany kila siku analalamikiwa na zelesky kwamba amekua akitoa ahadi hewa, juzi kaahid kutoa magari 50 , na vifaa vingine leo anaambiwa kavuka mstari,.he aliyetoa Himas hamumwoni ,hapo Germany hajatoa...
  4. M

    Rais Samia kuzungumzia Siasa kwenye Chuo cha Kijeshi unataka kutuaminisha nini Watanzania?

    Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
  5. Richard

    Urusi na China wafanya mazoezi makubwa ya kijeshi mashariki ya mbali yanoitwa Vostok 2022

    Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12. Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan. Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
  6. Jackal

    Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

    Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
  7. JanguKamaJangu

    China kupeleka wanajeshi wake Urusi kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi

    China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022. Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa. Aidha, China imekuwa ikiiunga...
  8. Jackbauer

    Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  9. GENTAMYCINE

    Nahitaji 'Kudanganywa' zaidi kuwa Maafande akina Mbuge na Gaguti wametumbuliwa kama RC's ili Kupandishwa Vyeo vya Kijeshi

    Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini? Kazi ipo.
  10. M

    Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  11. ward41

    Kim Jong-un makelele tu. Uwezo wa kijeshi wa jirani yake ni mkubwa mno

  12. JanguKamaJangu

    Marekani yatoa msaada wa Kijeshi wa Bilioni 627 kwa Ukraine

    Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na risasi 36,000 za bunduki za M777. Rais wa Marekani, Joe Biden ameweka wazi kuwa wataendelea kuisapoti...
  13. JanguKamaJangu

    Umoja wa Ulaya waipa Ukraine msaada wa kijeshi wa Dola Milioni 508

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17). Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
  14. M

    Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

    Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023 Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria. Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula...
  15. M

    Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  16. JanguKamaJangu

    Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  17. Lady Whistledown

    Raia waandamana kupinga utawala wa Kijeshi Sudan

    Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
  18. 2019

    Hakuna beberu linalopenda kiongozi mzalendo halisi, wapo kimaslahi sana, usipokubaliana nao watakutoa tu, labda uwe na nguvu kijeshi

    Kwanza kabisa hawa wazungu wapo kimaslahi tu na unafiki wa upendo,ukienda tofauti nao watakutoa tu kwa gharama yoyote. Leo hii na hata zamani angalia vingozi wenye msimamo mkali kwa mabeberu wanavyochukiwa na wao. Fidel Castro alichukiwa sana. KAZI ZAO KUU NI Kwanza watataka utawala wa...
  19. K

    Hayati Mobutu wa Zaire alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?

    Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi? Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
  20. Jackal

    Ripoti: Ndege Yashambulia Kituo Muhimu Cha Kijeshi Tehran!

    IRANIAN ARMY OFFICE / AFPAn Iranian missile being fired during the last day of the air defense exercise of 'Aseman Velayat 99', in an unidentified location in Iran on October 22, 2020. The attack was allegedly launched from inside Iran Overnight Friday, a drone reportedly struck a ballistic...
Back
Top Bottom