kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SirAlfred006

    Movie kali zaidi za kijeshi

    Kali mno
  2. Richard

    Marekani wahangaika kumtafuta aleivujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine

    Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine. Hadi sasa imefahamika kuwa taaarifa hizo zilitokea katika mchezo wa computer yaani "online game" na zilikuwa...
  3. Webabu

    Marekani walia wakikumbuka huku Taliban wakionesha magari ya kijeshi

    Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021. Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo...
  4. L

    Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola...
  5. 5523

    Inakuwaje kamanda mkuu wa kijeshi Urusi anakuwa chini ya Wagner Group, kikundi kidogo cha kukodi?

    Wakuu habari za muda, Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule...
  6. Messenger RNA

    Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

    Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita. Kulingana na Netanyahu...
  7. MK254

    Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  8. Econometrician

    Haya ndio mambo tunayoyahitaji-Balance of Power!

    Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23. Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na China mwezi Februari, huku Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, akianza...
  9. MK254

    Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

    Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi. Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
  10. MK254

    Kambi nyingine ya kijeshi yalipuliwa tena ndani ya Urusi

    Tuliambiwa kwamba Ukraine akithubutu kulipua ndani ya Urusi ndio itakua mwisho wake, haya, imekua kawaida sasa kwa kambi za kijeshi kulipuka mabomu ndani ya Urusi. Huyu Putin aguswe wapi ndio afanye kweli, kwenu wadadisi wa mambo.... Bwana Utam Urusi teule --- An explosion was heard overnight...
  11. Jackal

    Crimea: Kambi Ya Kijeshi Ya Urusi Yalipuliwa

    Jumla ya milipuko kumi yalipuka kwenye kambi ya jeshi ya Urusi huko Crimea. Kuua wanajeshi na kuharibu miundombinu ya kijeshi. ....... Ukrainian strikes have destroyed Russian barracks in a brutal attack in the Russian-occupied city of Melitopol, in the Zaporizhia Oblast. A total of 10...
  12. Jackal

    Askari wa Urusi sehemu ya"mobilized "Waandamana na kuvamia kambi ya Kijeshi wakidai warudishwe nyumbani!

    Moja ya madai ya hao kuruta wa kirusi ni vifaa duni vya kijeshi walivyopewa🤔 ..... Mobilised Russian soldiers preparing for the war in Ukraine appear to have enough poor equipment and training as a mass walkout is caught on camera in Kazan, southwest Russia. The footage shows uniformed...
  13. Shujaa Mwendazake

    Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

    Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
  14. JanguKamaJangu

    Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  15. MK254

    Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu. I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi. Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika. Globalfire
  16. GENTAMYCINE

    Msitudanganye 'Boss' Tshisekedi kaja kuomba Msaada wa 'Kijeshi' kupambana na 'M23' na siyo Kibiashara

    Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba...
  17. MK254

    Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

    Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya Ukraine...... Russian military officers have withdrawn from Kherson as Moscow prepares for a Ukrainian...
  18. M

    Kwa kutumia Kamikaze drones, vifaru na vifaa vingine vya kijeshi vya Ukraine vinaunguzwa kama mchezo fulani!

    Russian military shares video of kamikaze drone strikes New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles © MoD Russia The Russian Ministry of Defense has published new footage of kamikaze drone strikes against Ukrainian troops. The attacks were carried out...
  19. BARD AI

    Haiti: Serikali yaomba msaada wa kijeshi kukabili maandamano ya kupinga utawala

    Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha. Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
  20. NetMaster

    Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
Back
Top Bottom