Wananchi wa Kijiji cha Kalangale, Kata Miswaki, Wilaya Uyui Mkoa wa Tabora wamenifaika na Mradi wa Zahanati uliokamilika na kuzinduliwa Mei 25, 2024.
Awali, walikuwa wakiangaika kufuata Huduma za Afya kwa umbali mrefu jambo ambalo ilikuwa ni tatizo hasa kwa akina mama Wajawazito na Watoto...