kijiji

Kijiji.ca ( kee-JEE-jee; Swahili pronunciation: [kiˈʄiʄi], village) is a Canadian online classified advertising website that operates as a centralized network of online communities, organized by city and urban region, for posting local advertisements. Kijiji was launched in February 2005 as an eBay subsidiary and become part of the eBay Classifieds Group in 2007. The Kijiji brand is used in more than 100 cities in Canada and with kijiji.it in Italy, while eBay Classifieds websites are available under different brands in other countries (Gumtree in the UK and Marktplaats.nl for the Netherlands). The Canadian and Italian websites are managed by Dutch company Marktplaats BV, which is part of eBay Classifieds Group. Kijiji was made available to selected cities in the United States on June 29, 2007, however the brand was changed to eBay Classifieds in 2010.Kijiji is the most popular online classifieds service in Canada and draws more traffic compared to competitor Craigslist in that country. The New York Times referred to Kijiji's Canadian site as representing "one of the few online brands that fizzled in the United States but found success elsewhere."Kijiji offers similar services and is seen as a competitor to Craigslist, with the biggest differences being that Kijiji has an extensive pets section, as well as a more modern interface.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Wananchi walia na ujenzi wa Daraja Kijiji cha Komdudu (Tanga), wadai wanateseka kwa muda wa miaka miwili

    Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika. Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kijiji cha Kwikerege Chaamua Kujenga Zahanati Yake - Musoma Vijijini

    KIJIJI CHA KWIKEREGE CHAAMUA KUJENGA ZAHANATI YAKE Kijiji cha Kwikerege ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Musanja. Kijiji hiki hakina zahanati, kwa hiyo wakazi wake wanapohitaji Huduma za Afya wanalazimika kutembea umbali usiopungua kilomita tano (5) kwenda kwenye Zahanati ya Kijiji...
  3. Stephano Mgendanyi

    REA yaagizwa kufikisha umeme kijiji cha Ngahokora kufikia Desemba 2023

    MH. JENISTA ATOA MAAGIZO KWA REA KUFIKISHA UMEME KIJIJI CHA NGAHOKORA KUFIKIA DESEMBA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha linafikisha huduma ya umeme...
  4. P

    SI KWELI Mkoa wa Njombe una kijiji kinachomilikiwa na aliyekuwa Malkia II wa Uingereza

    Wakuu kwema? Katika pitapita zangu mtaani nimesikia barabara ya Njombe - Songea imejengwa na Malkia wa Uingereza na kwamba Hayati Queen Elizabeth II ndiye mmiliki wa mashamba ya chai maeneo hayo. Ila kubwa zaidi ni kuwa, Njombe kuna kijiiji kizima ambacho ni mali ya Malkia huyo. Je, hili lina...
  5. A

    DOKEZO Serikali itusaidie, Dampo la Bakhresa ni hatari kwa Afya za Wananchi wa Kijiji cha Kazole

    Muonekano wa sehemu ya Dampo Bakhresa ulivyo wakati wa msimu huu wa kiangazi. Miaka zaidi ya 10 iliyopita wamiliki wa Makampuni ya Bakhresa, walifika katika Kata ya Vikindu, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kununua eneo kwa ajili ya kutupa taka. Kwa wakati huo asilimia kubwa ya eneo lilikuwa...
  6. hermanthegreat

    MTFE imeenda na kijiji

    Wakuu. Ni kilio Cha jamaa angu kilisikika huku akionekana kughadhabika Sana akidai kuwa. Platform maarufu ya forex ijulikanayo kwa jina la MTFE imewaliza watu baada ya pesa kukataa kutoka. Kila walijaribu Kutoa pesa wanaambiwa Kuna tatizo limejitokeza wajaribu tena baada ya siku saba, lakini...
  7. Equation x

    Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu. Na pia katika kuimarisha umoja katika maeneo hayo, wanakijiji hao hao wanakuwa vibarua kwenye hayo mashamba, ambapo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Bwawa la Maji la Muko (Bilioni 1.9) Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo Jimbo la Momba

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso tarehe 01 Agosti, 2023 amezindua mradi wa Maji wa Bwawa la Muko wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.9 lililopo katika Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo ndani ya Jimbo la Momba. Bwawa la Maji la Muko lina uwezo wa kuchukua Maji Lita Milioni 166,386,474 na kuhudumia...
  9. BigTall

    DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sichalwe Afanya Mkutano na Wakulima Kijiji cha Nkala, Wilaya ya Momba

    MHE. CONDESTER SICHALWE AFANYA MKUTANO NA WAKULIMA WA KIJIJI CHA NKALA, MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe na Afisa Kilimo wamekutana na wakulima wa Kijiji cha Nkala na kuwasisitiza kuhudhuria mafunzo ya Kilimo yanayotolewa na Maafisa Kilimo...
  11. BARD AI

    Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahumbika, Hamis Bandari baada ya kumkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka. Hamisi na mwenzake Juma Kapilima, mkazi wa Liwale, walitenda kosa la kuharibu na kuuza miundombinu ya Kingo...
  12. Suley2019

    Wananchi wamkataa Mwenyekiti wa Kijiji. Wafunga ofisi

    Wakazi wa kijiji cha Ngelenge kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoa wa Njombe,wamefunga ofisi ya kijiji pamoja na kumkataa mwenyekiti Thomas Mkinga kwa sababu ya kushindwa kusoma taarifa ya mapato na matumizi kwa kipindi cha miaka miwili. Tukio la kufungwa ofisi limetokea julai tatu majira ya saa...
  13. Roving Journalist

    Njombe: Wananchi wafunga ofisi ya kijiji wakidai mwenyekiti anahujumu uchumi wa kijiji

    Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku wakimtaka ajiuzulu kwenye nafasi yake. Frolence Haule ni mmoja wa wananchi wa kijiji hicho ambapo amesema...
  14. BARD AI

    Kagera: Mahakama yampa Mtendaji wa Kijiji miezi 6 kurejesha Tsh. 8,974,125 za Halmashauri

    Ni agizo la Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Muleba mkoani Kagera dhidi ya Stephen Karugendo, ambaye alishtakiwa kwa kosa la kukusanya Tsh. 8,974,125 ambazo ni mapato ya Halmashauri na kutoziweka Benki kinyume na Sheria. Mshtakiwa amebainika kukiuka Kifungu cha 29()2(c) cha Sheria ya Fedha za...
  15. L

    Wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious UDSM Tanzania watembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua

    Tarehe 22, Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) wametembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua. Kijiji cha Siping kilichoko katika mlima Jiufeng mjini Jinhua, kilijengwa mwanzoni mwa enzi...
  16. R

    Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

    Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
  17. Mary Abely

    SoC03 Kijiji kilichogubikwa na janga la udhalimu na rushwa

    Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
  18. 5

    Matokeo ya counteroffensive Ukraine yarejesha Kijiji Mashariki Donetsk

    Aljazeera 11 Jun 2023 Ukraine has said its troops recaptured three villages from Russian forces in its southeast, the first liberated settlements it reported since launching a counteroffensive. Soldiers hoisted the Ukrainian flag at a bombed-out building in an unverified video published on...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Mchezo umekwisha, kijiji cha Kipilipili barani Asia kishauzwa

    Sasa kilichobaki ni viongozi wake kuwahadaa wananchi wake. Wanawaambia ajira zitaongezeka, maji na umeme havitakatika. Kijiji kilishauzwa zamani sana, tangu mfalme wa kijiji chao alipokwenda likizo kwenye kijii cha mnunuzi.
  20. Mercypeter

    SoC03 Elimu ni msingi wa maisha bora

    ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA Katika kijiji cha Kalimani, watu walikuwa hawana ufahamu wa umuhimu wa elimu. Wazazi hawakupeleka watoto wao shule, na badala yake, waliwafundisha jinsi ya kufanya kazi za shamba na nyumbani. Ijapokuwa watu wa kijiji hicho walikuwa na furaha, walikosa maarifa na...
Back
Top Bottom