kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MBOKA NA NGAI

    Kikao baina ya DRC na M23

    Hii ni tarehe 18 March, 2025 huko Angola. Serikali ya DRC ina wafungwa wengi wa AFC/M23. Ombi la kwanza la hawa viumbe, ni kuhakikisha wanaachiwa huru kabla ya mazungumzo. Nani ana tiketi ya mazungumzo sasa!!!
  2. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  3. J

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  4. Upekuzi101

    Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa tutauza umeme nje, kulikoni sisi ndo tunanunua tena?

    Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa bwawa likikamilika hatutahangaika tena kuhusu umeme, zaidi tutakuwa na umeme wa kutosha hadi tutauza kwa majirani. Ghafla mama akiwa Same amesema itabidi tununue umeme Ili kuzuia umeme kukatika Kanda ya kaskazini. Kwaiyo mheshimiwa Samia tukuamini kwenye...
  5. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Mkoa wa Geita awafukuza kikaoni Maafisa wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC). Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
  6. B

    Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
  7. Pascal Mayalla

    Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  8. Ojuolegbha

    Balozi Kombo kushiriki kikao cha 46 cha baraza la mawaziri AU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha 46 cha Baraza la Mawaziri la Umoja wa Afrika (AU) kinachofanyika tarehe...
  9. Pascal Mayalla

    Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025. https://www.youtube.com/live/v7nIhzdKxfM?si=_aHP4U9aOM7XzizK Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea...
  11. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha Tano, Februari 3, 2025 asubuhi

    Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 3, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili hoja za kamati. https://www.youtube.com/live/4i2z6c3WnZk Innocent Bashungwa - Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  12. K

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa. Hii ni kutoka X (Twitter) I held two conversations this week with President Ramaphosa on the situation in Eastern DRC, including earlier today. What has been said about these...
  13. kaputula

    Mama apoka ugombea urais kwenye kikao kisichokua rasmi.

    Wengi tulipoona uteuzi wa mtu mwenye tuhuma ya cheti feki cha uzamivu 'Phd' kua katibu mkuu wa ccm tukajua lazima kutakua na upigaji mizinga na mambo yasiyo sahihi kwenye ccm. Wanaccm wengi wanataka kuona mkutano mkuu maalum utakaokua na ushindani na uwazi kuhusu kuchaguliwa mgombea urais. Kama...
  14. U

    Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  15. Z

    Lissu anaongoza kikao muda huu, Mbowe is real democratic!

    Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha...
  16. Rorscharch

    Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  17. Waufukweni

    Makonda: Nataka tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe mabadiliko

    Wakuu Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko" Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
  18. Richard

    Bunge la Ufaransa lafanya kikao jioni hii na baadae kupiga kura kumuondoa waziri mkuu Michelle Barnier

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na hivyo kuipundua serikali yake. Vyama vya upinzani nchini Ufaransa vikiongozwa na Maria Le Pen muda huu...
  19. Lord denning

    Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  20. Bams

    Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

    Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema. Leo kila mmoja ana uhakika...
Back
Top Bottom