Shule nyingi za serikali zimekuwa zikikataza watoto wa kike kusuka na kuna shule baadhi za serikali zina ruhusu wanafunzi wake wa kike kusuka, je hii ni sheria au ni maamuzi ya shule husika na kama maamuzi nani anasimamia ili yasitumike vibaya?
Historia fupi tu ni kwamba kipindi cha ukoloni...
Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata
Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima
ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni
nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar
kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana
au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni Kama watu Na Ay
4. Nyaluland na Mike T
5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT
6. Sikiliza Na Ngwea
7. Hawajui...
angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu.
Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema...
Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.
Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.
Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa.
Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee.
Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa.
Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30...
Leo tuwakumbuke viongozi mahiri na shupavu kuwahi kutokea Tanzania.
Naanza na Bibi Titi Mohamed, huyu kwangu mimi anabakia kuwa “Iron Lady” mwanamama mahiri zaidi katika ardhi ya Tanzania.
Huyu ni miongoni mwa waliojitoa haswa katika harakati za Uhuru enzi ya TANU. Alikuwa na misimamo haswa...
Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue.
Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.
Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja.
Video: Whitney Houston - I Look to You
https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.
Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja.
Video: Whitney Houston - I Look to You
https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.