kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. Tumainiely Moshi

    Natafuta Mchumba Wa kike

    Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja Sifa; 1.Awe mweupe au maji ya kunde 2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana 3.kama atakuwa ameajiriwa itapendeza KWA yeyote aliye tayari tuwasiliane santosdavid554@yahoo.com
  2. dvj nasmiletz

    Unawajuaje member wa kike humu jf

    Mi mpaka leo humu jf nnaowahisi ni member wa kike ni hawazid watano...nyie wenzangu mnawafahamu vp? Maana unaweza kumuita mtu bro kumbe ni pisikalina unaweza kumuita mtu dada kumbe dume..hiz id ni changamoto kwakeli.. Wadada hebu kujeni hapa na mnyoshe vidole juu tuwajue.. Mnaweza kubahatika...
  3. K

    Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

    Ndugu zangu Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker? Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala? Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu? Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila...
  4. Leak

    Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

    Wasalaam wanajamvi. Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama kipindi kile watu walikuwa wakimsikia Nandy basi utawasikia wakisema hamna kitu huyo ameletwa kumfunika...
  5. Babu Kijiwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  6. braniac01

    Mchumba wa kike umrimiaka 20-25

    Habari wana JF natafuta mchumba wa kike Sifa 1 awe mkweli kweny mahusiano 2 mchapakazi 3 mcheshi 4 awe na elimu ya kujitambua 5 maji ya kunde mrefu kidogo sio mnene san 6 awr dar es salaam Njoo PM kwa more zaidi
  7. E

    Natafuta rafiki wa kike, Umri 21-22

    E
  8. Mung Chris

    Kwanini waganga wakubwa na wachawi wa kike kwa wakiume hawakosi magonjwa makubwa na ni maskini sana

    Nimejiuliza sana, kati ya waganga nilio wahi kuwafahamu au kuwatembelea na wale ambao marafiki zangu wachache wali wahi kuwaona hakuna ambaye nimewahi kutana naye ambaye hana magonjwa makubwa kama Presha, HIV, au kwa wanawake wana matumbo makubwa utadhani ni wajawazito, na ni maskini sana...
  9. J

    Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

    Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
  10. tyc

    Kwa mujibu wa kanuni, Chikwende hatocheza mechi yoyote CAF group stage akiwa na Simba

    Inasikitisha Simba tumesajili mchezaji mwenye kiwango kizuri, uzoefu wa kutosha katika mashindano ya kimataifa ngazi ya klabu lakini hatoweza kuichezea Simba katika hatua ya CAF group stage (16 round) Hii ni kutokana na kanuni ya CAF kwamba timu yoyote ikifuzu kuingia group stage basi...
  11. T

    Natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza aje kuwa mke wa maisha, ningependa pia awe mcha Mungu na asiyetumia kilevi chochote kile lakini pia...
  12. ommytk

    Kuna uhusiano wowote kujitegemea mtoto wa kike na kuchelewa kuolewa

    WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa. Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
  13. MENISON

    Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
  14. Miss Zomboko

    Njombe: Shule 28 zapewa taulo za kike. Wasimamizi wapewa onyo kuhusu ubadhilifu

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka. Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
Back
Top Bottom