Kwa wale wenye watoto wa kike tuwaonye kuhusu kupiga mizinga wapenzi wao. Yani kuna demu nimemu approach hatuna wiki na wala hatuja sex tayari leo kanipiga mzinga wa 1.5m eti anadaiwa kodi ya nyumba yani imeshakula kwake nimempiga block;.
MWALIMU WA KIKE APIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO MOROGORO VIJIJINI. WENZAKE WAMUOMBA ASKOFU MWAMAKULA ASAIDIE KUPAZA SAUTI ILI MAWAZIRI WENYE DHAMANA WASIKIE NA KUINGILIA KATI
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Tunapenda kukujulisha tukio la kusikitisha...
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya...
Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.
Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.
Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu!
Usipoteze nafasi, ondoa umaskini.
Hatuuzi rejareja kwa sasa
Kwa Maelezo zaidi DM!
Hello.
Natafuta rafiki wa kike (Mwanamke) wa kubadilishana naye mawazo na sometimes kwenda outings just for fun and enjoyment and so forth.
Awe ni mtu anayejiheshimu, muelewa, sio tegemezi na anahitaji rafiki wa kiume muelewa na mstaarabu kama nilivyo.
Umri asizidi miaka 45 na akiwa Dar...
Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje?
Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu?
Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu?
Wazazi...
Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka?
Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa...
Fatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
Habari ya jumatatu wandugu.
Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu
Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda
Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu
Na Mungu atubariki🙏
Wasalaam
Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao.
Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba.
Niliwahi kwenda India...
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.
Hili la kunyimwa...
Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
Nawasalim
Moja kwa moja kwenye mada, nimejaribu kuchunguza kwa muda mrefu mabafu ya ke, unakuta miswaki mingi kweli, imewekwa.
Mwanzo nilijua labda ya kuswakia, lakini nilikuja kukataa hoja hiyo baada ya kukuta bafu lingine kuna kopo hiv humo ndani ameweka na sabuni pamoja na dodoki!
Nauliza...
Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi .
Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani:
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.