Duka linapatikana njiro 88 pick n pay
Baada ya crdb
Room no 8
Nguo nzuri za kike ziko kwenye punguzo
Suruali za vitambaa 10000 ukipata kuanzia 5 @8000
Magauni 10000
Skirt 10000
Jeans 8000
Instagram:Divineclothingstore_arusha
0762 998333
Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.
Mfano wa picha katika viumbe
ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!!
Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
Habari wana JF,
Nauza sandals za ngozi OG za kike na kiume Dar..Jumla 18,000 rejareja 20,000.
Ni imara na hazipauki kirahisi wala kukakamaa.
Kwa mawasiliano nipigie 0657940974
Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all.
Hao nao hawana budi kuondoka naeee.
Haki tena. Mwenye ile video aweke.
Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.
Sababu inaonyesha kwamba ni rahisi kulea watoto wadogo wa kiume kuliko wa kike.
Utafiti unaenda mbali zaidi na kusema talaka inakua...
Ni kijana wa umri wa 27
Elimu: degree
Dini: mkristo
Makazi: dar es salaam
Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines
Anayehitajika
Elimu: form 4 mpk darasa la 7
Msichana umri chini ya miaka 23
Urefu wa saiv ya kati
Uwe serious kweli.
Whatsapp 0674028267
Wanaspoti
Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?.
Tujikumbushe enzi zake
Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo.
Soma...
Saikolojia ya Mwanamke
Maelezo haya yanatoa mafunzo kuhusu tabia na akili ya mwanamke wakati anapoingia katika mapenzi na mwanaume. Na hasa mwanamke anapokuwa mrembo, fahamu atakujaribu bila hata ya yeye mwenyewe kujifahamu. Ukiweza kufaulu kwenye majaribu hayo, she feels like wow na anaanza...
Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha...
Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.
Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion...
Makolo mulibwanji?😄😄
NAWEKA REKODI SAWA
JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID?
Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:-
Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali
Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini
Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto
Anasahau sahau kitu...
Wapendwa,
Wasalaam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika ndoa. Awe na sifa zifuatazo: -
1) Elimu: Form Four na kuendelea. Kama ni la saba, awe tayari...
Kama dunia imekwama mahali fulani au imefanikiwa sana basi yote hayo mawili yamesababishwa na mwanamke.
Wanaume wote kabisa kwa 90% ni wanawake kwa mawazo yao (ambayo ndiyo yanayotengeneza tabia zao na mifumo ya maisha yao), pia wanaishi mfumo ambao siyo dume bali jike (feminism) kasoro...
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.