Habari wana jamii
Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu
Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo
Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.
Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*.
Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii...
Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu
Au mnasemaje masela ?
Tuuze nchi tugawane mahela ?
Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?
Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo.
Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.
Safari ilivyosogea...
Mfano mtu umeenda benki, umekuta watu wamekaa kwenye foleni, na wewe kwa ustaarabu unaamua kuunga foleni kusubiria huduma.
Unakaa foleni lisaa lizima linakatika ukisubiria huduma, halafu anakuja njemba na miharaka haraka yake linaenda mbele kabisa badala ya kuunga foleni nyuma na kama...
Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM).
Sasa jumamosi...
Habarini za wakati!
Basi niende kwenye ombi langu, ninaomba kujua kuhusu viatu vya spesho vya wanawake na watoto wadogo husani zile simple tu.
Nahitaji kujua bei zake kwa anaye chukua kwa cartons tu ambapo yeye atauza jumla kwa wale wauza reja reja, natamani nijue bei za hivyo viatu na maduka...
Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka,
Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia.
Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji".
Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.