[Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge.
Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya.
Ndio...
Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge,
Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa nilishawahi kujaribu kwa wadada wawili kwa vipindi tofauti lakini mwisho wake tulipoteza mapenzi na...
Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe
Na wenu, Mtambo 1272019
Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda.
Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana.....
Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike
Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi.
Imezoeleka kwamba watoto...
Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu
Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote
Unazaa mtoto then hujui nani...
Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha.
Serikali imewaruhusu watoto...
Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi.
Waathirika wakubwa katika suala la usawa wa kijinsia...
Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu.
Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
Ruto kashinda Urais Kenya tunaoneshwa picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE.
Nakumbuka pia Obama alishinda Urais tukaona picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE..
Na Mara hizi zote nimeshuhudia watu wakisifu kuwa hawa wanawake "walivumilia sana maisha ya waume zao na kuwasaidia kufikia ndoto...
Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake).
Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
Nini maana ya hedhi,
Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147.
Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake :
Dini : yoyote ile sijali
Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja
Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara ningefurahi zaidi)
Umri : 25-35YRS
Umbo : Asiwe mnene (BONGE) awe wa kawaida
Rangi : Yoyote
Elimu ...
Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa, hata kama humpendi huyo mwanaume.
Kama humtaki, tumia mbinu za ki-digitali:-
Atakapoanza kuchati na wewe; mpige mzinga mkubwa, kwa mfano; akununulie kiwanja n.k; hapo lazima akukimbie bila kumkwaza.
Hii njia itakujengea heshima na haitakukwaza na watu.
Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake
Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?
https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_20220717-142338-png.2294154/?hash=9d3296f54684a35f03edc143af85da70
Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.