kikokotoo

Kikokotoo cha mafao
Neno kikokotoo limepata umaarufu mkubwa baada ya Serikali kutangaza namna mpya ya kuchakata mafao anayopata mstaafu baada ya kustaafu ajira yake.

Serikali ilisema mstaafu atapewa asilimia 33 ya mafao yake kwa mkupuo.
  1. Mad Max

    Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

    Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi. Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate. Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
  2. S

    Ridhiwani Kikwete anasema wastaafu wanapodai nyongeza ya kikokotoo, kukubaliwa ni hisani ya Rais Samia na sio haki yao? Chadema toeni msimamo!

    Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa. Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
  3. Mad Max

    Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  4. Friedrich Nietzsche

    Mmoja anielezee hiki kikokotoo cha mkopo NMB

    mkopo wa binafsi wa mwaka mmoja wa sh milion 5 Hapo chini wameandika kiasi milion 4 na laki nane?? ndo nn
  5. Roving Journalist

    Waziri Kikwete: PSSSF imeanza kulipa mafao kwa kikokotoo kipya kilichoboreshwa

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ametangaza. Kikwete ametangaza...
  6. ndege JOHN

    Kwa kikokotoo hiki ni wazi unakufa mapema kuliko hata ungepewa yote.

    Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko serikali ilivyofikiria.
  7. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ndejembi: Rais Dkt. Samia anaguswa na kujali maisha ya wafanyakazi, amenyanyua kikokotoo

    RAIS DKT. SAMIA ANAGUSWA NA KUJALI MAISHA YA WAFANYAKAZI, AMENYANYUA KIKOKOTOO: WAZIRI NDEJEMBI BILIONI 155 ZA KIKOKOTOO KUTUMIKA KUWALIPA WASTAAFU KUANZIA JULAI 2022 - JULAI 2024 "Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa fedha 2024/2025 ambayo tunaenda kuipitisha inaonyesha ni namna gani Rais wa...
  8. H

    Kikokotoo, nani wanapewa 33% na nani wanapewa 40%?

    Lakini kubadili formula ya kikototoo ambayo ilikuwa inazidishwa kwa 1/540 na sio hii ya 1/580 ya sasa Ni sawa na kumuongezea mtu shs 5,000 hafafu uchukue shs 4000, maana yake umemuongezea shs 1000 Au niseme; Wangesema tu wale wa 25% watapanda wafike 27% na wale wa 33% watapanda wafike 35%...
  9. DOMINGO THOMAS

    Ufafanuzi mdogo kuhusu kauli ya mabadiliko ya kikokotoo

    Kabla ya kuanza kutumika kikokotoo cha asilimia 33% kwenye kiinua mgongo na asilimia 67% kwenye pensheni ya kila mwezi, kulikuwa na mifuko mitano (5) ambayo kila mmoja ulikuwa na formula yake kwenye ukokotoaji wa mafao ya uzee: 1. LAPF na PSPF: Asilimia 50% kwenye kiinua mgongo na asilimia 50%...
  10. DOMINGO THOMAS

    Ufafanuzi mdogo kuhusu kauli ya mabadiliko ya kikokotoo

    Hapa tunarudi nyuma kidogo kabla ya kuanza kutumika kikokotoo cha Asilimia 33% kwenye kiinua mgongo na asilimia 67% kwenye pensheni ya kila mwezi, kulikuwa na mifuko 5 ambayo kila mfuko ulikuwa na Formula yake kwenye ukokotoaji mafao ya uzee ambapo :- 1. LAPF na PSPF ilikuwa ni asilimia 50%...
  11. T

    Mstaafu mtarajiwa: Lissu shikilia hapohapo, dozi inawaingia, Kikokotoo kimelegezwa. Nimeku-mpesa gari lako jipya.

    Pamoja na bajeti yao kujaa mizaha, mara noti iwekwe nembo ya Yanga mara mnara wa GSM, lakini kikokotoo kimelegezwa ila bado. Kicheko cha askari polisi kufurahia hotuba yako kule Iramba naona kimewashitua kidogo. Endelea kupiga nondo nimeku-mpesa ununua gari na cheji upate petrol na maji ya kunywa.
  12. B

    Swali: Je hiyo 40% ya kikokotoo ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji?

    Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi...
  13. BabuKijiko

    Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

    Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40% Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25%...
  14. muda wa ukombozi

    SoC04 Wajibu na haki viendane kwenye kikokotoo cha wastaafu

    Bunge ni chombo muhimu sana kwenye nchi yoyote, na ndicho chombo chenye dhamana ya kutunga na kupitisha sheria mbalimbali katika nchi husika. Hapa kwetu Tanzania kuna mabunge mawili la Tanzania Bara na la Zanzibar kwa wakati tofauti mabunge haya yamepitisha sheria mbalimbali, lakini sheria hizo...
  15. Vincenzo Jr

    Kikokotoo ni dhulma

    Ni wizi,ni unyonyaji,ni unyanyasaji, ni kero. As long waliokiweka wao hawajakuwekea ni UBINAFSI wa kiwango cha juu sana kwenye taifa la watu wanaohubiri HAKI. DemokrasiaYetu ina watunga sheria WABINAFSI sana credit by bajabir
  16. BigTall

    Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza

    Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha fedha za pensheni ya kustaafu alicholipwa. Anasema alipokea sms ikionyesha malipo ya Sh21 milioni...
  17. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k. Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aililia Serikali Sakata la Kikokotoo

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha kanuni ya Kikokotoo ili kuongeza kiwango cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu? - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inalipa madeni ya Mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuiongezea ukwasi...
  19. U

    MEI MOSI: Unatoka home kwenda kusikiliza ahadi ya kuondolewa kikokotoo na nyongeza ya mishahara, badala yake unakutatana na Wadudu!

    Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua.. Sasa ona hapa... Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa kauli kuondoa kikokotoo kandamizi cha mafao ya kustaafu kwenu na ahadi...
  20. kavulata

    Wastaafu, tatizo lenu sio kikokotoo bali mishahara yenu midogo

    Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana inayozalisha makato ya mafao ya hifadhi ya jamii. Mishahara yetu ni midogo sana kuliko ya nchi nyingi za...
Back
Top Bottom