Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
HATIMAYE serikali imetangaza kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu, safari hii kukishuhudiwa kuwapo kwa usawa na uwiano kati ya watumishi wa umma na sekta binafsi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu, akizungumza na waandishi wa habari...
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye...
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Watumishi wa Umma wako busy kushangilia ongezeko la mishahara kwa kima cha chini huku wakisahau kwamba wamepigwa kwenye Kikokotoo.
Ongezeko litasaidia nini ikiwa ukistaafu unapewa pesa kidogo ya asilimia 33.33% tuu?
Kwa hiyo hapa mtu anaifanyia Kazi serikali.Juu...
Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya jamhuri ya Tanzania.
Jenga legacy kwenye wizara hii kwa kuifuta sheria hiyo kandamizi kwa wastaafu...
Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.
Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
Wakuu:
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake.
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai!
✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai...
Waraka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwanza kabisa kwa vile ni mara yangu ya kwanza kuandiaka toka Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ushike hatamu za Uongozi wa nchi yetu, nachukua nafasi hii kukupongeza sit u kwa kuwa Rais wa nchi yetu lakini kwa namna ambavyo...
Hakuna ambae hatastaafu kazi, kesho kama sio wewe utakaestaafu basi atastaafu baba yako, shangazi, babu, mama mkubwa, dada, kaka, mama, baba mdogo, jirani nk. Hivyo, haki lazima itendeke hata kwa anaeachishwa au kuacha Kazi mwenyewe apewe chake.
Kitu cha msingi ni elimu ya kustaafu kazi itolewe...
Habari wana JamiiForums wenzangu
Kwa wale mliofunga mfungo wa mwezi mtukufu salaam alaikum
Leo nimekuja mbele yenu tujadili Kidogo mambo makuu mawili jambo la kwanza ni juu ya kikokotoo cha pension cha wastaafu na matumizi ya kikokotoo kipya.
Ndugu wanaJamiiForums najua katika ukurasa huu kuna...
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole.
Bulaya amesema Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli ulilazimisha kuweka mfumo mbovu...
Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.
Kama ambavyo sitaki...
Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania CHAKAMWATA kimelia kilio cha uchungu mkubwa sana kwamba kuna uonevu mkubwa sana unaofanywa na serikali ya awamu ya 5.
Kimedai kwamba serikali iliwadanganya kusitishwa KIKOKOTOO na FAO LA KUJITOA. Kwamba hivi vitu bado vipo na vinasubiri muda...
Na: Mh Tundu Lissu
Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati sio zake.
Pesa hizo...
Katika mkutano mmoja wa kampeni hivi karibuni, Lissu alionya juu ya sheria ya kikokotoo ambayo kwa sasa imewekwa pending mpaka 2021, sheria ambayo kwa mujibu wa Lissu itafyeka nusu ya mafao ambavyo mstaafu anastahili kulipwa.
Lissu kawaonya Polisi na watumishi wengine wa umma ambao kwa nafasi...
Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko.
Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
UPDATES:
Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea.
Viongozi wa vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.