kikokotoo

Kikokotoo cha mafao
Neno kikokotoo limepata umaarufu mkubwa baada ya Serikali kutangaza namna mpya ya kuchakata mafao anayopata mstaafu baada ya kustaafu ajira yake.

Serikali ilisema mstaafu atapewa asilimia 33 ya mafao yake kwa mkupuo.
  1. BARD AI

    Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
  2. DOMINGO THOMAS

    Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  3. U

    Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  4. Sildenafil Citrate

    Rais Samia: Serikali yenu ni sikivu, tutaangalia njia nzuri tunayoweza kufanya ili kikokotoo kisilete maneno mengi

    Akizungumzia kuhusu malalamiko yaliyopo kwenye kikokotoo katika ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, leo Septemba 4, 2023, Rais Samia amesema Serikali inafanyia kazi suala hilo na itaangalia njia nzuri ili kuondoa maneno mengi. "Tupo tunakifanyia kazi na...
  5. M

    TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  6. Mparee2

    Kikokotoo kipya cha NSSF

    Nilikuwa nasikiliza clip ya ya mwaka jana (Jul) ya Afisa mafao wa mkoa wa Mwanza (James Oigo) akielezea ukokotoaji mpya wa mafao ya mstaafu na pension (33%). Akatolea mfano kwa Mstaafu aliyekuwa na mshara wa shs milioni mbili (2000,000) kwa mwezi; Akasema ataishia kulipwa shs Milioni 30...
  7. C

    Kikokotoo kipya ni unyonyaji kwa wastaafu

    Wasalam wana ndugu TZ ni ngumu lakini yabid tupambane nayo maana ndiyo nchi yetu pendwa. Leo nimekuja kwenu bila ihana pia sikatai kukosolewa maan sijui kila kitu ila nakuja kwa jambo na hoja ya msing ya mifuko ya jamii kama PSSF na NSSF. Jamani serikali tunaomba mzingatie mambo kwenye kulipa...
  8. B

    Kwanini kuwe na kikokotoo Cha mafao ya wastaafu

    Mi nashauri vikokotoo vyote vifutwe, mtu akistaafu apewe hela yake yote. Nawasilisha
  9. Inanambo

    Waziri Ndalichako unapata Faida gani Wastaafu kulipwa Kikokotoo?

    Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
  10. lufungulo k

    Kikokotoo kwa mstaafu hata serikali inaona AIBU

    Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu. Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha) Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
  11. kavulata

    Dhambi ya kikokotoo cha wastaafu ni mbaya kuliko dhambi ya mauti

    Mishahara ya watumishi ni midogo saaana kuliko huduma/jasho wanayoitoa kipindi chote Cha ujana yao. Mishahara ya watumishi haiwatoshi kuishi, kuSomesha, na kujenga nyumba. Kima Cha chini cha mfanyakazi ni shilingi 4000 kwa siku nzima wakati kule Marekani ni dollar 8 (TSH 18,400) kwa saa TU. Hii...
  12. Msanii

    Kikokotoo cha retirement ni utekelezaji wa ilani ya CCM

    Maamuzi yanayopitishwa na Baraza la Mawaziri ili kuwa sheria ni muswada unaopitia michakato mingi ndani ya serikali. Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri ndiye Mwenyekiti wa Taifa wa CCM ambapo kupitia wasaidizi wake ndani ya chama na serikalini wanaangalia uwiano wa maamuzi ya...
  13. RWANDES

    Kikokotoo: Wafanyakazi ambao wamebakiza muda mfupi kustaafu ni kilio kila kona ya nchi

    Ndugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu kitendo hicho wanakilaani kwa maneno ya chini kwa chini bila kujitokeza hadharani. Nimewambia wapeleke...
  14. MADEVU MANYWELE

    Kikokotoo ni janga kwa watumishi wa umma

    Kwa serikali sikivu ilitakiwa kuwa imeshatoa tamko la kufanya mabadiliko juu ya hii sheria kandamizi ya KIKOKOTOO ambayo hailengi kuwanufaisha wastaafu zaidi ya kuharakisha kifo kwao bila kujali utumishi wao uliotukuka kwa Taifa la Tanzania.
  15. Carlos The Jackal

    Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

  16. BARD AI

    TUCTA, TUGHE waishangaa CWT kuhusu kikokotoo cha PSSSF

    Siku chache baada ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kutaka mjadala wa kikokotoo urudi upya, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema utaratibu wote ulifuatwa na suala hilo lilishafikiwa mwisho. Kauli hiyo imekuja baada mkutano ulioshirikisha CWT na Mfuko wa...
  17. BARD AI

    Kikokotoo chavuruga mkutano CWT, PSSSF

    Mkutano kati ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) umevunjika baada ya kuibuka kwa hali ya kutoelewana. Sababu za kuvunjika kwa mkutano huo ni kikokotoo ambacho baadhi ya wajumbe wa CWT walitaka mjadala urudi upya mezani katika sheria ya...
  18. mrengo wa kushoto

    Pensheni na kikokotoo: Usichokijua kuhusu uzuri wa kikokotoo, kwa mafanikio na bata la uzeeni

    Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga. Majanga ni vitu vyoote vinavyoweza kuondoa au kupunguza uwezo wa mtu kuzalisha. Moja ya janga kubwa ni UZEE.Tunaliita ni janga kwasababu tunaamini huna uwezo wa kuzalisha na kuchangia kiuchumi kama...
  19. Kabende Msakila

    Tozo, Miamala, Kikokotoo - Tanzania tuna Wanasheria Wasomi?

    JF team, SALAAM! Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili sana. = Kikokotoo kimepitishwa lkn watendewa ni pamoja na wabobezi wa masuala ya Sheria - hapa...
  20. ACT Wazalendo

    Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

    TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia ongezeko la kima cha chini cha mshahara, ukomo wa umri wa wategemezi wa Bima ya Taifa ya Afya na...
Back
Top Bottom