Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali imekopa na haitaki kulipa.
Hivyo danadana zote hizi wanajua tatizo liko wapi hivyo wanaangalia mdhaifu...