Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu.
Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha)
Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...