Hakuna ambae hatastaafu kazi, kesho kama sio wewe utakaestaafu basi atastaafu baba yako, shangazi, babu, mama mkubwa, dada, kaka, mama, baba mdogo, jirani nk. Hivyo, haki lazima itendeke hata kwa anaeachishwa au kuacha Kazi mwenyewe apewe chake.
Kitu cha msingi ni elimu ya kustaafu kazi itolewe...