kikosi

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Li ngunda ngali

    Hawa wamba ni kikosi cha nini pale JWTZ?

    Kuuliza siyo ujinga hao wamba ni kikosi kinachohusika na nini pale TPDF? Hatari!
  2. Labani og

    Okwa: Baada ya Zoran kuondoka mambo yalibadilika

    “Wakati Zoran akiwa Simba ilikuwa unacheza kulingana na ulivyoperfom kwenye mazoezi, lakini baada ya kuondoka ikawa kama Kuna watu wanaleta list ya wachezaji wanaotakiwa kucheza na hawa wasicheze bila kujali ni nini wamekifanya kwenye uwanja wa mazoezi,” Aliyekuwa mchezaji wa Simba Sc, Nelson...
  3. AbaMukulu

    Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

    Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
  4. Street brain

    Natamani kikosi cha Yanga kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye CAFCC

    Natamani kikosi kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye kombe la CAF 🤗 1. Diarra 2. Djuma shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Mwamnyeto 5. Bacca 6. Bangala 7. Morrison 8. Sureboy 9. Mayele 10. Mdathir 11. Msonda Baadae atoke Musonda, Mdathir, Sure Boy , Morrison weka, Moloko, Mzize, Kisinda, Aziz Ki...
  5. Gordian Anduru

    Picha: Kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba 1-0 mwaka 1992, wakiwa na jezi kali tu

    Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
  6. MamaSamia2025

    Kikosi cha Simba 2012: Wako wapi na wanafanya nini kwa sasa?

    Mwenye kujua walipo wachezaji wa Simba 2012 walioifunga Yanga 5 - 0 ashushe data hapa kwa heshima ya hawa Legends walioipa Yanga adhabu isiyovumilika. Wapo wapi na wanafanya nini kwa sasa?
  7. Tate Mkuu

    Professor Nabi anza na kikosi hiki kwenye mechi ya marudio dhidi ya Marumo Gallants

    1. Diarra 2. Dickson Job 3. Kibwana Shomari (umkumbushe huyu kijana wako! Mechi iliyopita alikuwa anajisahau sana) 4. Ibrahimu Abdallah (Bacca) 5. Bakary Mwamnyeto 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum (Sure Boy). 8. Mudathir Yahaya Abbas 9. Fiston Kalala Mayele. 10. Stephano Aziz Kii 11. Farid...
  8. S

    Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

    Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
  9. The Burning Spear

    Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

    Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa. Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.
  10. Hismastersvoice

    Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  11. M

    Rotation ya kikosi sio kwa kila timu, inategemea na ubora wa wachezaji wako

    Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu, Timu pekee yenye uwezo wa kufanya rotation ni yanga pekee ambayo ina kikosi bora kuanzia wanaoanza mpaka wakaa benchi...
  12. Mwande na Mndewa

    Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
  13. HERY HERNHO

    Kikosi cha RSF Sudan chaiteka Ikulu ya Rais

    Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa nchi. Tarifa hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa katika kujibu mashambulizi yanayofanywa na...
  14. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

    1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Saido Ntibanzokinza Baadae napendekeza Waingie wafuatao...
  15. MK254

    Ukraine yaweka tayari kikosi cha marubani zaidi ya 7,000 wa drones, tunaingia kwenye mkondo mpya

    Muda umefika wa kuingia kwenye kiwango kingine cha vita vya kisasa, zaidi ya marubani 7,000 wa drone wamepata mafunzo na wako tayari kupeleka moto kwa kubonyeza bonyeza tu. A Ukrainian official recently shared a video showing a stockpiled "drone army" amid the ongoing war with Russia. Mykhailo...
  16. Kilimbatzz

    Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

    Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka NB: Kuna Mayele...
  17. kavulata

    Kocha wa Taifa stars alishinikizwa kupanga kikosi?

    Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile? Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye kikosi na nani kwasababu zipi? Kikosi kilichocheza kule Misri kilikuwa na madhaifu gani yaliyowahitaji...
  18. Mganguzi

    Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

    Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha! Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu. Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii...
  19. mugah di matheo

    Kikosi Bora CAF champions league game 5, Simba babalao

    Kikosi hicho hapo . Simba wa 4. Kapombe Kanuti ,chama Baleke Sio bure hii Caf ni Simba watupu
  20. William Mshumbusi

    TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
Back
Top Bottom