Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 4, 2026 na Saut Digital, Dkt. Azaveli Lwaitama, amesema suala la maridhiano inahitaji msuluhishi kutoka nje kama Jumuiya ya Common Wealth na SADC ili watu waweze kuwa na imani na kinachofanyika.
Aidha Dkt. Azaveli Lwaitama amegusia jitihada za...
Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita ameanza ziara yake ya siku saba kwenye majimbo ya mikoa ya Dar es Salaam, jana tarehe 10 januari amekutana na kufanya mkutano wa ndani na wajumbe wa jimbo la Chamazi kata ya kilungure
Aidha kwenye ziara hiyo ya kwanza tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.