kilichotokea oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, mpaka sasa Serikali imewajibika kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025?

    Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Lwaitama: Jaji Warioba alieleza tuzungumze kabla uchaguzi akapuuzwa, nani anaweza kutoa maelezo kilichotokea Oktoba 29?

    Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 4, 2026 na Saut Digital, Dkt. Azaveli Lwaitama, amesema suala la maridhiano inahitaji msuluhishi kutoka nje kama Jumuiya ya Common Wealth na SADC ili watu waweze kuwa na imani na kinachofanyika. Aidha Dkt. Azaveli Lwaitama amegusia jitihada za...
  3. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchinjita: Kilichotokea Oktoba 29 kimedhihirisha CCM imekosa ushawishi

    Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita ameanza ziara yake ya siku saba kwenye majimbo ya mikoa ya Dar es Salaam, jana tarehe 10 januari amekutana na kufanya mkutano wa ndani na wajumbe wa jimbo la Chamazi kata ya kilungure Aidha kwenye ziara hiyo ya kwanza tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…